nimecheki instagram yani waganda full #weloveudavido ha ha ha hii muvi mi niko neutral naangalia tu watu wanavyo rushiana maneno.
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.ukitaka kuona jinsi watanzania tulivyo na akili ndogo we ingia tu instagram..hi nchi kuja kupata maendeleo itatuchukua miaka ming sana..
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.
mkuu ni kweli unayozumgumza ila ukiangalia wanaoitumia instagram ni vijana kunzia miaka 18 mpaka 25 au na kuendelea...sasa kwa sample ile ya vijana ambao tunaambiwa kwmba vijana ndo taifa la leo..basi hi nchi imeoza...
Msando naye kapiga Kampeni ya Unfollow Davido 😀
watz weng ni vichwa panzi, hawajui kwamba comment zao za kumdis davido zichafua image yao kimataifa. Tumeweka hisia mbele ya fikra na kwa yeyote anayefikiri nje ya box atajua kuwa tumepotoka. hapo huyo Jux anataka kuonekana mwanaharakati, mzalendo! mwanaharakati? mwanaharakati my foot! tunapenda kushupaza shingo kwa mambo yasiyo na tija sijui kwanini?
Msando naye kapiga Kampeni ya Unfollow Davido 😀
Pesa na elimu siyo JIK ya kutoa ushamba..msando naye ndo walewale
Nimejaribu kupitia huu uzi mpaka hapa sielewi nini kinaendelea wanaogombana wanagombania nini??