Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

ukitaka kuona jinsi watanzania tulivyo na akili ndogo we ingia tu instagram..hi nchi kuja kupata maendeleo itatuchukua miaka ming sana..
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.
 
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.

Ig ina watu wanaoiwezea aisee niliingia kukanishinda wamekugeuza sehemu ya mipasho isiyo na maana hadi haina mvuto kabisa tukio likitokea tu watu wanajiandaa kwa matusi in short wengi bendera fata upepo
 
Inawezekana watanzania wengi wenye akili hawako huko instagram. Kwanza watu wengi walio bize na ishu zao ambao hawako kwenye kiwanda cha burudani sidhani kama wana muda wa kuingia huko.

mkuu ni kweli unayozumgumza ila ukiangalia wanaoitumia instagram ni vijana kunzia miaka 18 mpaka 25 au na kuendelea...sasa kwa sample ile ya vijana ambao tunaambiwa kwmba vijana ndo taifa la leo..basi hi nchi imeoza...
 
Sasa wewe jamaa uliemuona huyo mkenya alieandika hivyo inamaana umeshindwa kuona hata yeye amekosea kwenye hicho kiingereza its hurt me a lot nigga WTF is that? ebana primary kuna walimu walikua wanatoka kenya walikua hawawezi hata kusema this boy utawakuta this mboy, this ngal nigga please....siku nikafanya kama namuigiza George W Bush..enzi zile za September 11...war against terrorism..nikatupia na yai kidogo slang pale kati daaah ticha mkenya alinipiga mambata Africa Nzima mpaka leo na utuuzima wangu sijasahau...hao waganda ndo kabisaaaa...particular wanasema patichula.....hahahahahahah....
 
mkuu ni kweli unayozumgumza ila ukiangalia wanaoitumia instagram ni vijana kunzia miaka 18 mpaka 25 au na kuendelea...sasa kwa sample ile ya vijana ambao tunaambiwa kwmba vijana ndo taifa la leo..basi hi nchi imeoza...

Msando naye kapiga Kampeni ya Unfollow Davido 😀
 
Aaah.. Bwana mtoa uz usihadaike et by DAT sentence tu akajua ts joke mie sidhan..."lol" no sign ya jushangaa sasa yeye kip kilichomfanya ajue ule no utan??? Thou MTANZANIA ulie tukana tusi kubwa lile, kiukweli kabisa Mimi nahisi anamatatizo ya akil...
 
watz weng ni vichwa panzi, hawajui kwamba comment zao za kumdis davido zichafua image yao kimataifa. Tumeweka hisia mbele ya fikra na kwa yeyote anayefikiri nje ya box atajua kuwa tumepotoka. hapo huyo Jux anataka kuonekana mwanaharakati, mzalendo! mwanaharakati? mwanaharakati my foot! tunapenda kushupaza shingo kwa mambo yasiyo na tija sijui kwanini?
 
Wangemtukana namna hii Chenge ningewaona wa maana!!
 
Mbona kiinglish chake kimepinda hivo..ila dah wabongo wenzangu wote mliomtukana Davido hamjafanya fresh bana
 
Nimejaribu kupitia huu uzi mpaka hapa sielewi nini kinaendelea wanaogombana wanagombania nini??
 
Back
Top Bottom