Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Duh! hapa kwa kweli nipo mbali sababu haya mambo ya fakebuku sijui kilogramu na twiga siyajui kabisa.
 

Ww boya Uganda wametuzidi uchumi toka lini ?? Achaa kuchangia habari usizokua na uhakika nazoo nakwambiaa....!!!
 

Mimi Insta simfollow celeb yeyote yule account yangu natumia kuingia kusoma umbea na kuishia zangu kimyakimya.
 
afu davido mwenyewe kazaliwa mwaka 1992 mtoto mdogo.Nawashangaa vkongwe akn diamond wa 80 huko na dj bonge alyechoka wa miaka ya 70 anavyotoka povu wakat hajaelewa simple englsh ya katoto DAVDO MTOTO WA BILIONEA
 
Hivi huyu Juma Mpolopwoto a.k.a Jux anafanyaga nini haswa huko China?maana kuna za chini kwa chini zinasema anawabebesha sembe mademu wenye tamaa ya pesa za fasta na hata ule msala wa Jack bich babe ni yeye ndio alisimamia shoo nzima kikabuma wadau hebu njoeni huku mnifungue macho mwenzenu skelewiii
 
Kwani shilingi ya Uganda kuwa chini ya shilingi yetu inamaana uchumi wetu mkubwa kuliko wa UG?mbona pesa ya Japan na South Africa inaonekana ya south africa iko juu?inamaana uchumi wa South Africa uko juu kuliko wa Japan?
 
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig

Huna kazi ya kufanya
 
https://jamii.app/JFUserGuide you dimond,ommy dimpoz and Dj choka
 
https://jamii.app/JFUserGuide you dimond,ommy dimpoz and Dj choka

Na wabongo woote wanao mdiss Davido kwa simple english alyoongea na mibongo haijaelewa that's why mkashauliwa msome english course panya nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…