Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Jux, Kuishi na kusoma China lakini bado mshamba hivyo?

Duh! hapa kwa kweli nipo mbali sababu haya mambo ya fakebuku sijui kilogramu na twiga siyajui kabisa.
 
Ukweli uko wazi kenya uchumi wao uko juu kuliko uganda na uganda uchumi wao uko juu kuliko TANZANIA.. Samsung wana mpango waku fungua kiwanda cha simu zao kenya in future, uganda wana aanza ku manufacture magari muda si mrefu na sample zilisha toka.... Tanzania Escrow wana endelea ku gawana hela... ukweli ni kwamba wa bongo tuna ropo ropo sana, maneno pipa zima... kwaheri!!!!!!

Ww boya Uganda wametuzidi uchumi toka lini ?? Achaa kuchangia habari usizokua na uhakika nazoo nakwambiaa....!!!
 
Kuna wajinga wachache wanatuchoresha sana...kuna watu wanamwaga mitusi kwa kitu kidogo na davido kuonyesha umwamba katupia mndinga huku wajinga kina dj choka wamekazania unfollow davido. .leo nimegundua kuna mapimbi kuwa na followers wengi ndo good life ndo maana wanadhani kumunfollow davido ndo adhabu. ...

Mimi Insta simfollow celeb yeyote yule account yangu natumia kuingia kusoma umbea na kuishia zangu kimyakimya.
 
afu davido mwenyewe kazaliwa mwaka 1992 mtoto mdogo.Nawashangaa vkongwe akn diamond wa 80 huko na dj bonge alyechoka wa miaka ya 70 anavyotoka povu wakat hajaelewa simple englsh ya katoto DAVDO MTOTO WA BILIONEA
 
Hivi huyu Juma Mpolopwoto a.k.a Jux anafanyaga nini haswa huko China?maana kuna za chini kwa chini zinasema anawabebesha sembe mademu wenye tamaa ya pesa za fasta na hata ule msala wa Jack bich babe ni yeye ndio alisimamia shoo nzima kikabuma wadau hebu njoeni huku mnifungue macho mwenzenu skelewiii
 
Kwani shilingi ya Uganda kuwa chini ya shilingi yetu inamaana uchumi wetu mkubwa kuliko wa UG?mbona pesa ya Japan na South Africa inaonekana ya south africa iko juu?inamaana uchumi wa South Africa uko juu kuliko wa Japan?
 
mi yoote yule yapite ila yule aliyetukana nimemuona hana akili ht ya kuvaa chupi
davido nimefurahi kajibu kihekima sana na nimenza kumfollow leo huko ig

Huna kazi ya kufanya
 
https://jamii.app/JFUserGuide you dimond,ommy dimpoz and Dj choka
 
https://jamii.app/JFUserGuide you dimond,ommy dimpoz and Dj choka

Na wabongo woote wanao mdiss Davido kwa simple english alyoongea na mibongo haijaelewa that's why mkashauliwa msome english course panya nyie
 
Back
Top Bottom