BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Wakuu,
Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul.
Nilifikiria awe Jux ila nikaona kama amesikika sana mwaka huu tofauti na Ben Paul. Naombeni ushauri wenu
Shukrani sana wakuu