Jux vs Ben Paul

Jux vs Ben Paul

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul.

Nilifikiria awe Jux ila nikaona kama amesikika sana mwaka huu tofauti na Ben Paul. Naombeni ushauri wenu

Shukrani sana wakuu
 
Binafsi naamini Ben po n mkali zaid ya juma kwenye korasi
 
Kwenye chorus ben pol yuko vizuri ila kwa nyimbo jux yuko vizuri ingawa hana nyota.
 
nipo nasikiliza chafu pozi hapa bilinenga kumbe ndo anajiita 2pac nandy machup
 
Magogoni kuna bonge la msanii ninauhakika utauza sana ukimshirikisha singo yako... ila tu isiwe na maneno ya kiingereza kama entrepreneur
 
Back
Top Bottom