BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Binafsi naamini Ben po n mkali zaid ya juma kwenye korasiWakuu,
Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul.
Nilifikiria awe Jux ila nikaona kama amesikika sana mwaka huu tofauti na Ben Paul. Naombeni ushauri wenu
Shukrani sana wakuu
Jaman ameomba ushauri mkuu wenu uyuMtafute kingwendu
😂😂😂😂😂😂😂huyu mtoto ni kichaaa kamili😂Mtafute huyu Viatu vya Samaki
. jux alichomzidi Ben ni kuvaa na dem mkaliBinafsi naamini Ben po n mkali zaid ya juma kwenye korasi
Kumbe ni Billnenga duhNakuona mwanangu billnas
Atanizid mimi ukichaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu mtoto ni kichaaa kamili[emoji23]
Demu mkali unamzungumzia demu yupi. jux alichomzidi Ben ni kuvaa na dem mkali
Atanizid mimi ukichaa
kwani ben pol hana demu mkali?. jux alichomzidi Ben ni kuvaa na dem mkali