Jux vs Ben Paul

Ben paul mkali huyo jux sijawahi muelewa anabebwa tu sababu anahela
 
mkuu inategemeana maana jux anavaa sana kwa wanao rap ila ben anafaa sana kwa sahv afro rnb zote
 

jux ni mtoto wakishua ambaye ajui na ushua wake anapeleka wapi kazi zake.kuliko ben pol watoto wa kimasikini aka tandale boy tuki toka tumetoka sio kulizika kukamua watoto wa kishua na watakao taka makombora kwetu
 
huyu jamaa yuko akili moja na DEOGRATIUS KISANDU sijui ni ID yake ingine
 
Mimi nakupigia chorus hutakaa uamini maisha yako yote ya mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…