Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😂😂Hapana
Huyo ndo mwanangu swalehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Hapana
Huyo ndo mwanangu swalehe
Akikujib naomba unitag mkuu.Demu mkali unamzungumzia demu yupi
anabebwa na nani?Ben paul mkali huyo jux sijawahi muelewa anabebwa tu sababu anahela
anabebwa na nani?
Hata mimi. Nimeshangaa .. ngoja nifuatilie comment huwenda ikawa alitoa jibuDemu mkali unamzungumzia demu yupi
Yaani vannesa ndiye demu mkali ... utakuwa unatania mkuu. jux alichomzidi Ben ni kuvaa na dem mkali
HahaNawewe
Wakuu,
Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul.
Nilifikiria awe Jux ila nikaona kama amesikika sana mwaka huu tofauti na Ben Paul. Naombeni ushauri wenu
Shukrani sana wakuu
Mwanamke wa kipare kafunika nyota yakeKwenye chorus ben pol yuko vizuri ila kwa nyimbo jux yuko vizuri ingawa hana nyota.