ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao.
Yaani nyie mnawaalika ila kwao hamwendi
Ngojeni ICC
Ngojeni ban ya IMF na World Bank