wanafanya watu ni mazombi/hawana akili timamuImekuaje mkuu?
Wajinga kweliWanadhani Marekani ni sawa na BAKWATA
Haihusiani na matatizo ya Tanzania ya 29/10, bali ni kutokana na Watanzania kuzidisha muda wa kuishi kwenye visa za zamaniTuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao.
Yaani nyie mnawaalika ila kwao hamwendi
Ngojeni ICC
Ngojeni ban ya IMF na World Bank
View attachment 3516641View attachment 3516642
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao.
Yaani nyie mnawaalika ila kwao hamwendi
Ngojeni ICC
Ngojeni ban ya IMF na World Bank
View attachment 3516641View attachment 3516642
Tuna serikali inajua kufungua nchi kimataifaWanaoathirika ni Watanzania ambao wana issue zao Marekani, sasa kuna mtu anaona sawa ndugu zake wanavyopata changamoto, hii nayo ni maajabu. Uzuri wapo Diaspora ambao wanaishi huko waunge mkono na hii sasa.
Ina maana rushwa haijafanya kazi...Haihusiani na matatizo ya Tanzania ya 29/10, bali ni kutokana na Watanzania kuzidisha muda wa kuishi kwenye visa za zamani
View attachment 3516665
Ni jambo zuri na la kuigwaTuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao.
Yaani nyie mnawaalika ila kwao hamwendi
Ngojeni ICC
Ngojeni ban ya IMF na World Bank
View attachment 3516641View attachment 3516642
Kwa hiyo watu waendelee kuwawa kwakuwa Kuna watu Wana issues USA??Wanaoathirika ni Watanzania ambao wana issue zao Marekani, sasa kuna mtu anaona sawa ndugu zake wanavyopata changamoto, hii nayo ni maajabu. Uzuri wapo Diaspora ambao wanaishi huko waunge mkono na hii sasa.