Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Hairidhishi kwa kweli kama lengo lilikuwa kupata ''first eleven'' na sub zake kama.

sikuwa na lengo hilo makusudi,,,ila ikatokea mbele kama bahati mbaya
 
Nimegundua kwamba wewe ni Swebe, huwezi tulia na mmoja. Hiyo ndiyo taswira halisi ya future yako.
 
Wengi miteremko
 
Ina maana hakuna hata mmoja hakubadili namba tangu uachane nao? [emoji15]
 
nilkiwatafta upya mkuu...ilichukua karibia sikunzima..... wengine sikuwa na namba zao kabisa
 
Nimegundua kwamba wewe ni Swebe, huwezi tulia na mmoja. Hiyo ndiyo taswira halisi ya future yako.

huwezi jua labda nitaweza kubadilika nikishakuwa na mama clare
 
Hatusifii ujinga kwanza pole na pili nenda kaokoke umpe Yesu Maisha yako akusaidie siku zote za maisha yako!
 
We jamaa una mawazo mazuri.. Yafaa kufanya tafiti kama hizi serious.. Ukipublish unaweza change game ya mahusiano kabisa...
Hii ni kitu social psychologists wanafanya.. Kazi nzuri kijana.
 
kweli eh? mi nikajua nimefanya kitu cha kijinga
 
Ooh... Man, you need some sort of craziness to change the world. Changamkia Fursa hiyo kabla ya mimi au Chris Mauki kuchukua idea na kuifanyia kazi...
 
hehe anzeni bhana nyie,,,ili niangalie kama kweli inaweza ikafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…