jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,266
Bado unasikitika hukuwa na sub?!HAHA,,,bahati mbaya sikuwa na sub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unasikitika hukuwa na sub?!HAHA,,,bahati mbaya sikuwa na sub
sasa je? wewe unadhani hiyo idadi inaridhisha?
Hairidhishi kwa kweli kama lengo lilikuwa kupata ''first eleven'' na sub zake kama.sasa je? wewe unadhani hiyo idadi inaridhisha?
Farasi uliyewahi kumtumia hakutishi kwa miondoko!Akijibu tu kama atakuja ulipo "akipata nafasi" anza kushangilia sababu huyo utapigateh teh tunakumbushia zilipendwa
Wengi miteremkoWiki iliyopita nikiwa nimekaa kitandani kwangu ghafla kuna wazo la kijinga lilinijia out of nowhere. Naliita la kijinga kwa sababu ukifikiria mm ni colleague wa chuo fulani hapa jijini kwa hiyo ilinnipasa nifikirie beyond this anyway nikaamua kufanya.
Wazo lenyewe lililonijia ni kuwa jaribu kuwakumbusha some best memories of us,and most importantly how we used to SEX.Master plan ilikuwa ni mm kuigiza kuwa nimemiss MCHEZO TU.
basi nikaanza kutafuta contacts zao,zingine zilikuwa GoogleContacts,,wengine nikawatafuta from friends mpka nikapata number... iakchukua siku nzima niliowapata WAKAFIKA 11 NIKASEMA INATOSHA.
Nikaandika bonge moja la ujumbe ili niforward kwa kila mmoja wao...Nikaanza ujumbewangu,nikajitambusha mm ni Jay ur ex-bf na blah blah za mbona mkimya na nn,,,, nikisifia "our days", na ujanja WAKE kitandani, na kwamba sasa hivi i dont get enough kama nilivyokuwa napata kwake>> NIKAIFORWARD sasa......kwahiyo huu hapa ni mrejesho kwa baadhi yao in their final say baada ya chatting mbili tatu......
1)Inamaana Jay sikuhizi upo single?
2)Jay siamini unachokisema..akanipigia simu tukaongea...akaniambia yupo mkoani Mzumbe hawajafungua 3rd year.
3)Mwingine akasema nimpe mda afikirie kuhusu SEX ila nijue kuwa ana mtu wake.
4)Mwingine akamalizia kwa kusema yupo mkoani akirudi atanitafuta ...
5)Yupo chuo hapa mjini ila mambo yanabana atanitafuta.
6)We need to talk first...
7) Hivi kipindi kile tulipoachana what did u think? umeshachezea wengine hukoo now unarudi tena kwangu?I hate you Jay.
8)Jay nimeshaolewa mwenzio.... haya nikampa hongera zake
9 )No response
10 & 11) Wametoa msimamo wao kuwa haiwezekani kwa sasa....
Na ikawa hivyo,,,wewe umegundua nn kutoka kwa hawa ma-ex wangu?
Mmoja basi mkuu. Nipm namba yake. Mkali kuliko wotewawili ntapungukiwa sanaa...
We jamaa una mawazo mazuri.. Yafaa kufanya tafiti kama hizi serious.. Ukipublish unaweza change game ya mahusiano kabisa...
Hii ni kitu social psychologists wanafanya.. Kazi nzuri kijana.
Ooh... Man, you need some sort of craziness to change the world. Changamkia Fursa hiyo kabla ya mimi au Chris Mauki kuchukua idea na kuifanyia kazi...kweli eh? mi nikajua nimefanya kitu cha kijinga