Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Jogoo,beberu,lijari,King mswati unajua kuchanga karata ila usije kujuta
 
Nimegundua mchagua nazi lazima apate koroma, utaishia kuoa x wangu kisha ntakumegea maisha yako yote

mimi ntaoa bikra kwa kweli,,,ntaenda sitimbi kutafuta wakuoa hapa mjini naona watu wanavyotumika mpaka inakuwa too much
 
mimi ntaoa bikra kwa kweli,,,ntaenda sitimbi kutafuta wakuoa hapa mjini naona watu wanavyotumika mpaka inakuwa too much
Hao ndo hovyo kabisa akifika mjini tu lazima awababaikie masharobaro na akizaa mtoto lazima utapima DNA
 
Naliita la kijinga kwa sababu ukifikiria mm ni colleague wa chuo fulani hapa jijini kwa hiyo ilinnipasa nifikirie beyond this anyway nikaamua kufanya.

Nimegundua kuwa chuo kuna ma colleague. Ila sijaelewa hasa wanakuwaje.
 
Back
Top Bottom