Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Hao ndo hovyo kabisa akifika mjini tu lazima awababaikie masharobaro na akizaa mtoto lazima utapima DNA

ntaenda kuoa kanisani,, wale wanaohudhuria bible study kila wiki
 
Anao, sema keshawaambukiza hao wadada na wao wanausambaza

hahah am safe bro,,,Mungu kanilinda mpaka leo nimecheza rafu sana lakini nipo fresh kwa sasa,,,wangekuwa wanasambaza nadhani hata ww wangekuwa wameshakupitia
 
Alafu mkuu.....
Mbona ujue nakutafuta kwa issue ya maana aiseeee.....🙁
and please take it seriously

mi nipo ..ila shughuli lazima iwe ya maana kweli,na ikiwezekana iwe na utukufu kwa Mungu...maana shughuli za sikuhizi tough sana
 
Back
Top Bottom