Sikukuelewa au umezungumza shiti?heheehe,,mwanazuoni basi kama hukuielewa...
Kwani unasoma au unafanya kazi fire?ntasoma hata ya kuzima moto
Usiwory utaupata..hee my dada upo ww? Unipe mrejesho wa utafiti wako basi
Alafu mkuu.....Nimegundua huna shughuli ya kufanya......
Naomba kazi basi ili niache kusoma