Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Mtoa hoja kwa hiyo umekuja na wewe kulalama huku JF!!,why hamkufanya push back hapo kituoni?,mngevamia na kukalia njia ya mwendokasi, serikali nzima wangehamia hapo,vipi hukuziona V8 zenye AC na Blue lights zikipita hapo pembeni kwa kasi?,watanzania ni watu wa kulalama na woga wa kuchukua maamuzi magumu, push back
Kwanini hiyo biashara wasipewe wawekezaji na sio serikali maana inajulikana kuwa huduma za serikali tangu dunia iumbwe ni mbovu.
π
Hatari Sana.
Unakakuta kajamaa afya mgogoro lakini ukakute kwenye kugombea Daladala mbona utajuta kukatambua.
Na watu wengine wana mili mikubwa Ila hiyo ligi ya kugombea daladala hawaiwezi Afya mgororo utaijua katika ligi Kama hizo na sio nyama za nje
πππ hii niliona mwendo kasi wakati wa Covid 19 watu wanaangushwa lakini wapo mwili nyumba.ππ
Na kweli maana haya huyo mzee apaye amenusurika sio mzee kivile na anamiliki mwili lakini moto aliuona
πππ hii niliona mwendo kasi wakati wa Covid 19 watu wanaangushwa lakini wapo mwili nyumba.
Huu usafiri kiboko
Ova
Huu usafiri kiboko
Ova
INASIKITISHA SANA KIUKWELI,ila usafiri wa DART na Kivuko cha Ferri( kwa uchache) ni indicator ya kwamba tuna viongozi INCOMPETENT kabisa
Sasa mkuu elfu 20 kwenye mil5 si ni uchafu tu unatuangusha matajiri ukiwa kama muwakilishiKutoka posta mpaka ninapoishi sio pungufu ya elfu 20. Kwa umri wangu na hali yangu na asili yangu kutoa hiyo pesa isingewezekana.
Na request sehemu iliyo chini ya elfu 10. Over
Sasa mkuu elfu 20 kwenye mil5 si ni uchafu tu unatuangusha matajiri ukiwa kama muwakilishi
Wakazi wa Mbagara walikuja na mbinu yao ya kupanda ndani ya gari kwa kupitia dirishani ππUkiwa mstaarabu/muungwana Bongo utachelewa kila jambo.
Nani aliweka huo utaratibu wa gari lijaze ferry ndio lije liwachukue na abiria wa Posta?Posta,jiji nyomi la watu linasubiri gari hilohilo lililojaa tangu ferri.
Ferri kwenyewe umeona watu walivyokuwa wengi?Nani aliweka huo utaratibu wa gari lijaze ferry ndio lije liwachukue na abiria wa Posta?
Ni vyema akijulikana ili afikishwe mahakamani kwa kukiuka haki za raia.
Wakazi wa Mbagara walikuja na mbinu yao ya kupanda ndani ya gari kwa kupitia dirishani ππ
Walishatupilia mbali ustaarabu kitambo
One man push back, hivi ukisimama kwenye njia ya mwendokasi na bango lako kuhusu bad service yao ,huoni wataamka na kuchukua hatua kuliko kuja humu kwenye soft landing?,jiji la Conventry pale UK,mwanamke mmoja Ali ride horse akiwa uchi kupinga extra charges za kodi, na alishinda na kodi haikupandishwa kwa raia!,statue yake ipo hadi leo paleNingefanya push Back na Nani mkuu?
Wabongo ninawajua A to Z
Siwezi kuthubutu kufanya jambo ambalo najua matokeo yake ni kushindwa.
One man push back, hivi ukisimama kwenye njia ya mwendokasi na bango lako kuhusu bad service yao ,huoni wataamka na kuchukua hatua kuliko kuja humu kwenye soft landing?,jiji la Conventry pale UK,mwanamke mmoja Ali ride horse akiwa uchi kupinga extra charges za kodi, na alishinda na kodi haikupandishwa kwa raia!,statue yake ipo hadi leo pale