Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Mtoa hoja kwa hiyo umekuja na wewe kulalama huku JF!!,why hamkufanya push back hapo kituoni?,mngevamia na kukalia njia ya mwendokasi, serikali nzima wangehamia hapo,vipi hukuziona V8 zenye AC na Blue lights zikipita hapo pembeni kwa kasi?,watanzania ni watu wa kulalama na woga wa kuchukua maamuzi magumu, push back
Ningefanya push Back na Nani mkuu?
Wabongo ninawajua A to Z
Siwezi kuthubutu kufanya jambo ambalo najua matokeo yake ni kushindwa.