Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

Mtoa hoja kwa hiyo umekuja na wewe kulalama huku JF!!,why hamkufanya push back hapo kituoni?,mngevamia na kukalia njia ya mwendokasi, serikali nzima wangehamia hapo,vipi hukuziona V8 zenye AC na Blue lights zikipita hapo pembeni kwa kasi?,watanzania ni watu wa kulalama na woga wa kuchukua maamuzi magumu, push back

Ningefanya push Back na Nani mkuu?
Wabongo ninawajua A to Z
Siwezi kuthubutu kufanya jambo ambalo najua matokeo yake ni kushindwa.
 
Kwa lugha nyepesi mwendokasi haijaleta faraja Kwa wakazi wa Dar ila imeleta mateso

Na kadiri mnavyopata mateso ndio faida ya muwekezaji inavyoongezeka kwahiyo atazidi kupunguza mabasi Ili apate faida kubwa na hakuna wa kumnyoshea kidole

R.I.P Jiwe Raisi wa wanyonge
 
Nani aliweka huo utaratibu wa gari lijaze ferry ndio lije liwachukue na abiria wa Posta?

Ni vyema akijulikana ili afikishwe mahakamani kwa kukiuka haki za raia.
Ferri kwenyewe umeona watu walivyokuwa wengi?
Hali ni mbaya

Kuna gari huwa zinatoka level seat Ferri zinaondoka ,lakini bado watu wa posta na jiji na fire ni wengi mno,gari haitoshi ukizingatia gari moja linakuja baada ya nusu saa.
 
Ningefanya push Back na Nani mkuu?
Wabongo ninawajua A to Z
Siwezi kuthubutu kufanya jambo ambalo najua matokeo yake ni kushindwa.
One man push back, hivi ukisimama kwenye njia ya mwendokasi na bango lako kuhusu bad service yao ,huoni wataamka na kuchukua hatua kuliko kuja humu kwenye soft landing?,jiji la Conventry pale UK,mwanamke mmoja Ali ride horse akiwa uchi kupinga extra charges za kodi, na alishinda na kodi haikupandishwa kwa raia!,statue yake ipo hadi leo pale
 
Unachosema NI sahihi kabisa.
Lakini sio applicable Kwa mataifa kama yetu
 
Back
Top Bottom