Juzi nimemtokea demu

Jamani maisha yalivyo magumu mnasema laki ni ndogo?Jamani nyie acheni masihara ........
tatz la jf kila mtu amesoma udsm;ana kazi nzuri, ana hela ;so humu hakuna mnyonge wote wanazo,"et kalaki"
mtu km miss chaga na nywele zake za kipilipili zinazoishia utosini anavaa wig mwezi mzima mpk linatoa haruf kali km dampo!
 
Matusi hayo au una utani nae mkuu
 
tatz la jf kila mtu amesoma udsm;ana kazi nzuri, ana hela ;so humu hakuna mnyonge wote wanazo,"et kalaki"
mtu km miss chaga na nywele zake za kipilipili zinazoishia utosini anavaa wig mwezi mzima mpk linatoa haruf kali km dampo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahabahahahahahahahahahahahah

Mtake radhi dada wa watu
 
tatz la jf kila mtu amesoma udsm;ana kazi nzuri, ana hela ;so humu hakuna mnyonge wote wanazo,"et kalaki"
mtu km miss chaga na nywele zake za kipilipili zinazoishia utosini anavaa wig mwezi mzima mpk linatoa haruf kali km dampo!
ha hahaha naona mnaninanga tafuteni hela acheni kulalamika haya mi nahongwa ujue
 
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.

kama ulitaka kuuza chain fake basi naye amekupa hela bandia, ngoma droo.
 
Ngoja kwanza nisome hili jukwaa gan then Nije nikoment
 
tatz la jf kila mtu amesoma udsm;ana kazi nzuri, ana hela ;so humu hakuna mnyonge wote wanazo,"et kalaki"
mtu km miss chaga na nywele zake za kipilipili zinazoishia utosini anavaa wig mwezi mzima mpk linatoa haruf kali km dampo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tatz la jf kila mtu amesoma udsm;ana kazi nzuri, ana hela ;so humu hakuna mnyonge wote wanazo,"et kalaki"
mtu km miss chaga na nywele zake za kipilipili zinazoishia utosini anavaa wig mwezi mzima mpk linatoa haruf kali km dampo!
Mkuu ivi miss chagga umemuona laivu? Inasemekana mkali kinoma, maana jamaa anaimbisha mzigo humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…