Juzi nimemtokea demu

Juzi nimemtokea demu

"Laki si pesa" ...., "milioni uadui" , mkuu unataka huyo demu akukubalie ndio nimekubali ndo uridhike , soma alama za nyakati na uende na nyakati
 
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
[emoji1] [emoji1] mkuu umetisha ww noma na mfano wa kuigwa
 
Back
Top Bottom