Juzi nimemtokea demu

Juzi nimemtokea demu

Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
Ukimpa tu hiyo hela atakubali Bila kujitambulisha kwao..
 
Laki nipesa kwa wanaozipata kwa jasho lao lkn sipesa kwa kazi za haramu
 
Back
Top Bottom