Tasbeeh313 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,919 Reaction score 2,054 Mar 14, 2017 #101 "Laki si pesa" ...., "milioni uadui" , mkuu unataka huyo demu akukubalie ndio nimekubali ndo uridhike , soma alama za nyakati na uende na nyakati
"Laki si pesa" ...., "milioni uadui" , mkuu unataka huyo demu akukubalie ndio nimekubali ndo uridhike , soma alama za nyakati na uende na nyakati
mensaah JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 927 Reaction score 1,311 Mar 14, 2017 #102 Boloyoung said: Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu. Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu. Click to expand... [emoji1] [emoji1] mkuu umetisha ww noma na mfano wa kuigwa
Boloyoung said: Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu. Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu. Click to expand... [emoji1] [emoji1] mkuu umetisha ww noma na mfano wa kuigwa
mensaah JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 927 Reaction score 1,311 Mar 14, 2017 #103 Slim5 said: Jamaa kanisikitisha sana, kalaki ka1 tu anakaanzishia uzi!? Click to expand... Tatizo sio kalaki kamoja ila kwa kuwa demu alikaza na jamaa ikabidi akaze hata kama angeomba 10,000 tu
Slim5 said: Jamaa kanisikitisha sana, kalaki ka1 tu anakaanzishia uzi!? Click to expand... Tatizo sio kalaki kamoja ila kwa kuwa demu alikaza na jamaa ikabidi akaze hata kama angeomba 10,000 tu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Mar 15, 2017 #104 Boloyoung said: Mkuu ivi miss chagga umemuona laivu? Inasemekana mkali kinoma, maana jamaa anaimbisha mzigo humu! Click to expand... ha hahaha
Boloyoung said: Mkuu ivi miss chagga umemuona laivu? Inasemekana mkali kinoma, maana jamaa anaimbisha mzigo humu! Click to expand... ha hahaha