Juzi Tshabalala alipofunga mlisema Yanga SC imefunga je, na baada ya huu Muwa wa Kapombe nasi leo tuseme Simba SC imefunga?

Juzi Tshabalala alipofunga mlisema Yanga SC imefunga je, na baada ya huu Muwa wa Kapombe nasi leo tuseme Simba SC imefunga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Huu Muwa wa Kapombe hakuna Kipa wa kuweza Kudaka na akithubutu tu kutaka Kudaka kutafuta Sifa anaishia ICU Muhimbili.
 
Hii ni timu ya taifa
Wana Yanga SC mlipokuwa mnamsifia Tshabalala juzi alipofunga lile Goli lake la Pili kwa Taifa Stars huku kwa Tambo zote mkisema kuwa Yanga SC imeshinda mlikuwa hamjui kuwa ile au hii ni Timu ya Taifa? Wanafiki wakubwa nyie.
 
Nchi hii njaa tu inatuendesha ila Kapombe na Zimbwe walitakiwa wawe wamestaafu. Wanakomaa tu ili watoto waende chooni.

Simba isipotafuta mbadala sahihi wa Kapombe dirisha hili, msimu unaokuja atavujisha sana.

Ukiwaangalia wale Mauritania, wanakosa tu labda uzoefu ila skill ya mchezaji mmoja mmoja wametuzidi sana. Sisi jihadi inatubeba.
 
Back
Top Bottom