JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

Hivi na hii tumvue ama
 

Attachments

  • Screenshot_20230824_163745_Instagram~2.png
    368 KB · Views: 4
Wamechapwa huko msumbiji, wanakuja kuleta shobo uraiani,
Haya mazwazwa tunayalisha bure na kodi zetu, hayana faida yeyeto
Halafu hii ni kazi ya polisi, sio hawa mbulula, au sababu hawana kazi ya kufanya wanaamua kujishebedua na shughuli zisizowahusu...
 
Sawa tumewaelewa!
Ila wenzetu huko kwenye mavazi walishatoka wapo busy kwenye teknolojia ya ndege zisizo na rubani.

Nadhani shida ni Elimu! Elimu! Elimu!
Watanzania uelewa wa Mambo ni tatizo.

Mungu saidia Nchi yangu.
Walishatoka zamani sana huko ukiangalia vita vya ukrein na urusi kinachofanya vita iwe kali sana ni matumizi ya silaha mpya kila siku

Angalia ule msafara wa wanajeshi wa urusi ulivyozuiliwa na mwanajeshi mmoja yupo geto na computer yake anaua wanajeshi zaidi elfu kumi kwa drone tu nawaza yule jamaa akipambana na jeshi letu ambalo halina hata vyombo vya kisasa nazani ataua jeshi lote
 

Mkuu Sakasaka Mao Kwa maneno uliyoweka, sina cha kuongeza. Ila Jeshi letu linapasaswa kupokea ushauri. Tunalipenda sana, hatuna Jeshi lingine zaidi yao, waubebe ushauri ulioutoa waufanyie kazi. Tutazidi kulipenda Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania.
Kinyume cha hapo litakua linajidharirisha tu na hatujizuia kulirekebisha kikatili kila itakapohitajika kufanya hivyo.
 
Kati ya kuwaadhibu wavaa nguo au wanaohatarisha usalama wa jeshi lenyewe na mustakabali wa nchi kwa ujumla kupitia mkataba wa bandari(DP World)ni nani anapaswa kuadhibiwa kwanza kabla ya hizo siku 7?

AsIlimia kubwa ya watu weusi tuna matatizo ya akili kwa kweli.
 
Kituo cha kupokea nirudishe hili gwanda la kijana wangu wa miaka 2
 
We jamaa umeongea Point kinyama...Nimeona hata kwenye Nchi za wengine Mwanajeshi haingilii Jeshi la polisi kwa sababu yeye haruhusiwi kujihusisha na kukamata Raia....

Na ndo maana Kwa nchi zingine ukimuona msemaji wa Jeshi kasimama kwenye chombo cha Habari lazma kwanza ushituke kuna nini au kuna tishio la vita au amani? Au kuna Kufungwa kwa mipaka au kuna kitu chochote kikubwa cha ulinzi na usalama wa nchi ila huku Anaweza kuitisha Press akaongea akasema hajapandishwa mshahara 😀....

Sio kwamba nacheka Mazuri Tuangalie hata kwa nchi za wenzetu jMani...
Swala kamaa hili la Nguo za jeshi lipo kwenye sheria zetu ilifaa kumuona Msemaji wa Polisi kusema hayo maneno.
Na pia Jeshi kutoa Tishio Kwa kesi za Jinai sio sawa kwa mujibu wa sheria...
 
Wapewe elimu,wajue majukumu ya polisi ni yapi,na yao ni yapi.Kweli kutoka kulinda mipaka ya nchi,hadi kuchoma nguo za raia?aisee..
 
Yule ni mwanajeshi mstaafu Wakimwadabisha bila sheria kitaumana na ndo maana wanataka kutumia sheria sasa
Kulikua hakuna haja ya kupiga mbiu.Kwakweli tuendako itabidi jeshi liwe makini kwa watakayokusema public.
 
Una iq kubwa sana mkuu
 
HIVI BONGO TUMEROGWA????Wenzetu wanajeshi wa West Africa wanakimbiza kuwaondoa viongozi wao wala rushwa na mafisadi.Wanajeshi wa bongo wanakimbizana na mavazi ya kijeshi wakati hio ni kazi ya polisi. Ina maana hata JWTZ sasa hivi ni tia maji tia maji...AIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…