JWTZ cyber warfare unit

Kama wewe ni Daktari basi hustahiri kuwa kwenye kada hiyo ulitakiwa kuwa kwenye siasa.
 
Kwenye nchi za kifisadi kama ya kwetu kila idara ni upigaji tu. Kila siku wananunua vifaa na magari ya kichina sidhani kama wanajua hata kurusha drones
Kwani,gari la kichina halina ubora?
 
Kila kijana akifeli kidato shule anakimbilia jeshini......jeshi limekuwa kichaka cha waliofeli
Usajiri wa wataalamu maalum katika majeshi yote duniani ikiwemo TZ huwa unafanywa kwa siri sana na kwa taarifa yako wataalamu sana kwenye nchi lazima wanasajiriwa kwenye majeshi anaweza akaendelea kufanyakazi kwenye private company lakini yuko kwenye mfumo. Kama ulisoma Cuba nafikiri utakuwa umenielewa!!
 
Hawa maandunje ambaye mmojawao ni mbakaji wa mtungo
 
Tuna safari ndefu sana
 
Kuweka app kunahitaji usomi wa IT? Kama kuna askari mlinda nchi ambaye hajui ku dowload whatsup huyo ni sawa ni panya tu.
Hiyo ni IT,IT siyo kuhack tu,ni information technology,hata kuban cd ni IT,kuweka movie, nyimbo kwenye flash ni IT
 
Wana kitengo cha kufanya Usafi trh 23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…