Wenye akili Hawaoneshi uwezo wao kıvıta!! Mnaonesha silaha nyie serikali dhalimu kuwatisha raia wenu ili wawe waoga mzidi kuwa Tawana kama kondoo .
Tiss wakipata namba yako ya simu wanajua ulipo.Police wao wana Cyber kukimbizana vibaka wa simu tu.....research and Development hakuna JW wala Police.....labda TISS kidogooo wana kitengo kinafanana hicho
Hii akisoma mjeshi lazima iumeTechnology ni 0 maana hata vifaa vinavyotumika vyote ni vya kuletewa vingine hata marekebisho hatuwezi hadi tuombe msaada
Future impossible tenseNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Umewaona wanao deki kwa mashineWakitoe wapi?
Labda kitengo cha kudeki mtaani wakisikia tetesi za maandamano.
Huku kwetu Cyber pekee wanaoijua ni kuombana connection za ngono zilizovuja.
Bado wana tactics za kizamani za kuvunja matofali kwa kichwa, wenzetu unakuta kiwete yupo ofisini anafanya maangamizo kwa computer tu.
Vijana wanaosomea mambo ya mitandao wanaishia kuwa watengeneza simu kariakoo.
Rudini kwenye mada achaneni na hao hapa tunazungumzia wajeshi sio haoTiss wakipata namba yako ya simu wanajua ulipo.
Inasemekana, Israel ili tengeneza kiwanda fake huko Hungary, Mahali Hezbollah Wananunua hizo vifaa, kwa kuingia ubia na Kampuni mama(nadhani ya taiwan mama Japan) ya watengenezaji wa hizo pagers. Sasa wakawa wanafyatua pagers walizoweka codes zao na materials za kulipuka!!! Wakafanikiwa kufanya uhuni hizo pagers zikaangukia mikono mwa Hezbollah! Waliporidhika ndiyo wanafanya huo unyama!Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Ku-terrorize upinzani wa kweli (Chadema) hakuhitaji hicho kitengoHicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!
Nafas8 za kazi za JWTZ huwa zinatangazwa wazi wanahitaji watu gani na sifa zipi huwa huoni au? Ulishaona kwenye hizo sifa wanazotaja kuna kilaza?Unategemea nini iwapo recruitment pool yao ni vijana failures wa Uvccm!! Gabbage in and Gabbage out!!
Huko wamejazwa wavunja mawe kwa vichwa na ugokoVijana wanaosomea mambo ya mitandao wanaishia kuwa watengeneza simu kariakoo.
Unadhani watafanya nini sasaKuwalipua maadui kwa simu zao na pagers wataanza kujifunza wakipitia hii mada kila kitu ni kujifunza,sidhani kama Jeshi letu linaweza likaingizwa mkenge na kuuziwa vifaaa vya mawasiliano vya kuwalipukia wenywewe,Wataalamu wetu wenye weledi wa hali ya juu, pamoja na ndugu zetu wachina,wacuba warusi watahakiki kabla hatujaanza kuvitumia.
Nani kakwambia Nashangaa nchi yangu kuwa maskini? Nchi hii maskini kwasababu hatuna uongozi bora! Rais kila siku yuko barabarani kukopa nje ya nchi kwasababu ameshindwa kuisimamia serikali yake. Matumizi ya serikali yake yanazidi mapato hivyo inambidi awaumize raia wake kwa kuwa na tozo kila mahali! Any overtaxed economy never develops!!Hizo zinafanyika sehemu nyingi duniani, sio jambo geni na tanzania sio nchi ya kwanza na pekee kufanya hivyo
Kama raia upo nyuma hivi kufahamu maswala mbalimbali ya kidunia, sasa unashangaa nchi yako kuwa masikini? Au afrika kwann masikini?
Ukweli unaumaNafas8 za kazi za JWTZ huwa zinatangazwa wazi wanahitaji watu gani na sifa zipi huwa huoni au? Ulishaona kwenye hizo sifa wanazotaja kuna kilaza?
Umejas ujinga tu kichwana hata macho ya kusoma sifa za ajira JWTZ matangazo yakitoka huna
Nafasi za kujiunga jeshi bado zinawatambua darasa la saba haya mambo yanaweza kuwa magumuNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Kumbe kitengo kama hicho mbali na kuwa na mifumo ya kompyuta ya kung'amua hatari na kusambaratisha wanatakiwa kutumia akili mnemba kutafsiri hotuba za viongozi wa kitaifa na kauli zao, (tungo tata), ama hatari ya wanao jitekenya na kujipoteza au kutekwa na kupotezwa🤣
Ndo moja ya taasisi yenye vilaza wengi per capita.