JWTZ cyber warfare unit

JWTZ cyber warfare unit

Wenye akili Hawaoneshi uwezo wao kıvıta!! Mnaonesha silaha nyie serikali dhalimu kuwatisha raia wenu ili wawe waoga mzidi kuwa Tawana kama kondoo .
5C20DBA4-3C9C-461B-947D-FE45228793D7.jpeg

Wenye akili uwezo wao wa kivita ni mkubwa mno.

Vitoto vya efu mbili vimekusanywa kama kuku!
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Future impossible tense
 
Nadhani kitengo kipo mkuu hivi karibuni jeshi lilikuwq linahitaji vijana waliosoma sayansi na IT hukuona lile Tangazo?

Wakapunguza na sifa kwa kuondoa kigezo cha kupitia JKT
 
Huku kwetu Cyber pekee wanaoijua ni kuombana connection za ngono zilizovuja.

Bado wana tactics za kizamani za kuvunja matofali kwa kichwa, wenzetu unakuta kiwete yupo ofisini anafanya maangamizo kwa computer tu.

Vijana wanaosomea mambo ya mitandao wanaishia kuwa watengeneza simu kariakoo.
51D4F3D1-62D3-417B-9AB1-F6483F8E31FC.jpeg

Umewaona wavunja matofari kwa ulimi?
 
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Inasemekana, Israel ili tengeneza kiwanda fake huko Hungary, Mahali Hezbollah Wananunua hizo vifaa, kwa kuingia ubia na Kampuni mama(nadhani ya taiwan mama Japan) ya watengenezaji wa hizo pagers. Sasa wakawa wanafyatua pagers walizoweka codes zao na materials za kulipuka!!! Wakafanikiwa kufanya uhuni hizo pagers zikaangukia mikono mwa Hezbollah! Waliporidhika ndiyo wanafanya huo unyama!

Akili kujumlisha na ushetani jimbu ni matokeo ya kilichotokea Lebanon(amesema jamaa fulani mtandaoni)!!!
====
In a way hii haikuwa Cyber attack kwa sababu hivyo vifaa havikuwa hacked bali rigged!!! Hacking ya pager ni Mtihani nadhani!!!!
 
Unategemea nini iwapo recruitment pool yao ni vijana failures wa Uvccm!! Gabbage in and Gabbage out!!
Nafas8 za kazi za JWTZ huwa zinatangazwa wazi wanahitaji watu gani na sifa zipi huwa huoni au? Ulishaona kwenye hizo sifa wanazotaja kuna kilaza?

Umejas ujinga tu kichwana hata macho ya kusoma sifa za ajira JWTZ matangazo yakitoka huna
 
Kuwalipua maadui kwa simu zao na pagers wataanza kujifunza wakipitia hii mada kila kitu ni kujifunza,sidhani kama Jeshi letu linaweza likaingizwa mkenge na kuuziwa vifaaa vya mawasiliano vya kuwalipukia wenywewe,Wataalamu wetu wenye weledi wa hali ya juu, pamoja na ndugu zetu wachina,wacuba warusi watahakiki kabla hatujaanza kuvitumia.
Unadhani watafanya nini sasa
 
Hizo zinafanyika sehemu nyingi duniani, sio jambo geni na tanzania sio nchi ya kwanza na pekee kufanya hivyo

Kama raia upo nyuma hivi kufahamu maswala mbalimbali ya kidunia, sasa unashangaa nchi yako kuwa masikini? Au afrika kwann masikini?
Nani kakwambia Nashangaa nchi yangu kuwa maskini? Nchi hii maskini kwasababu hatuna uongozi bora! Rais kila siku yuko barabarani kukopa nje ya nchi kwasababu ameshindwa kuisimamia serikali yake. Matumizi ya serikali yake yanazidi mapato hivyo inambidi awaumize raia wake kwa kuwa na tozo kila mahali! Any overtaxed economy never develops!!
Rais anakuwa na convoy ya magari zaidi ya 100 all gas guzzlers anapokwenda ziara mikoani unategemea to balance your budget? Corruption everywhere, what do you expect? Ni maumivu kwa raia na raha kwa machawa wa Samia!
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Nafasi za kujiunga jeshi bado zinawatambua darasa la saba haya mambo yanaweza kuwa magumu
 
Kujadili mambo ya jeshi letu ni wasiwasi ama nini? Hawa jamaa tuwaache tu kwanza wanapewa bajet ndogo sana. Ila utimamu wao na uzalendo unatosha kuliamini jeshi letu la ulinzi.
 
🤣

Ndo moja ya taasisi yenye vilaza wengi per capita.
Kumbe kitengo kama hicho mbali na kuwa na mifumo ya kompyuta ya kung'amua hatari na kusambaratisha wanatakiwa kutumia akili mnemba kutafsiri hotuba za viongozi wa kitaifa na kauli zao, (tungo tata), ama hatari ya wanao jitekenya na kujipoteza au kutekwa na kupotezwa
 
Back
Top Bottom