JWTZ cyber warfare unit

Huku tunguli tu leta ushenzi lisimu lako linatupiwa jini makata kwisha kazi hakuna shida na mambo ya wazungu
 
Nafas8 za kazi za JWTZ huwa zinatangazwa wazi wanahitaji watu gani na sifa zipi huwa huoni au? Ulishaona kwenye hizo sifa wanazotaja kuna kilaza?

Umejas ujinga tu kichwana hata macho ya kusoma sifa za ajira JWTZ matangazo yakitoka huna
Kaka tatz tunaamini kweny ufaul kuzid maarifa fattilia wengi wanaojua mambo ya udukiaji gpa zao ni za kawaida maan wao wanasoma na wanatak wajue vitu sasa tz tunaamini gpa kubwa ni akili kuzid maarifa mtu anajua vitu ana gpa ya kawaida lakin ataachwa atachukuliwa kilaz ambae amekalili makaratas kuzid mtu ambae anajua mambo
 
Nafas8 za kazi za JWTZ huwa zinatangazwa wazi wanahitaji watu gani na sifa zipi huwa huoni au? Ulishaona kwenye hizo sifa wanazotaja kuna kilaza?

Umejas ujinga tu kichwana hata macho ya kusoma sifa za ajira JWTZ matangazo yakitoka huna
Hayo matangazo ni danganya toto tu!
Şifa yao ya kwanza lazima upitie JKT ; sasa huko JKT ndiko walikowajaza Uvccm!! Hiyo ndio system yao ya Kuajiri!
 
Madawa yaliyo expire yanaingizwa nchini. Vyakula vilivyo expire vinaingizwa. Sukari isiyofaa kwa matumizi ya binadamu inaingizwa. Bidhaa zisizo na ubora toka China zinaingizwa. Wakati huohuo tuna TBS/TMDA, TISS. nk. Uchawa unalipa- ukiwa mzalendo utatafutiwa sababu.
Kwa hiyo kusema hatuwezi kuingizwa mkenge eti tuna watu wenye weledi, nina shaka.
 
Maofisa wake wanapishana kwenye vibanda wa mafundi simu kwenda kuwekewa application ya Whatsup. Nakuachia mwenyewe utafakari weledi wao kwenye hii sekta.
 
Umesahau na hii pia wanaovunja ndoa za watu sio tu matofali peke yake..............unataka mambo ya cyber wakati e-mail tu mtu kaja kuimiliki chuo.............
 
GPA kubwa ina maana huyo ni mtu anayejituma sana ana juhudi kubwa

GPA ndogo tafsiri yake huyo mtu ni mvivu na hajitumi ndio tafsiri yake

Sasa wakiajiri wanataka mtu mwenye juhudi anayejituma sio mvivu ndio maana waajiri wengi hawapendi watu wenye GPA ndogo akiangalia tu cheti anasema vivu hili
 
Naunga mkono hoja. Naamini kipo labda kwa sababu mambo ya jeshi ni siri. Shambulio lililofanyika Lebanon, Mossad waliwahi kulifanya mara zaidi ya mara mbili Iran. Mara ya mwisho walicheza na baadhi ya component muhimu kwenye mabomu ya masafa marefu, wakabadilisga kwa kuwachomekea kifaa hichohicho ila chenyewe kitasababisha hilo bomu lilipukie hapohapo badala ya kwenye target. Hii hawakufanikiwa walishtukiwa.

Ni vizuri wawe na Cyber army kama NK. Ukraine wanaandaa jeshi la Drone operators. Wamechukua watoto na vijana karibu 1K wanawafunza na ni jeshi maalumu ambalo linapewa ujuzi wa vita vya kutumia drones zinazoweza kupenya hadi moyoni mwa adui, pia kuhujumu mifumo ya adui. Amani ninnzuri ila wakati wa amani ni wakati wa kujiimatisha maana mbinu hizo tulizoziona zinaweza kutumiwa hata na magaidi na kuhatarisha usalama wetu raia wema

Ni hayo tu

Mtumishi
Matunduizi.
 
Hata ukiambiwa kitengo cha cyber kipo haitakuwa na maana yoyote kwako. Mambo ya kijeshi yanaendeshwa kwa usiri mkubwa sana utaishia kupata fununu tu kama yaliyotokea Lebanon.
 
Mmh sidhani ikiwa rada tu zimejengwa miaka 4 iliyopita yaani imagine tulikuwa tunalipia rada kutoka nchi ya nje ili ilinde aga letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…