JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

Ujasiri wa kwenye keyboard na ID fake. Nenda katamke uliyoyaandika hapa mbele yao ndo utajua ni mgambo au jeshi.
Unaishi kwa kuabudu na kutii ujinga, wakati ipo siku lazima safari yako iwe na mwisho kwa kutetea ujinga, tambua laana hii haiwezi kukuacha hata ukiwa chini ya ardhi
 
Tunajamii ya hovyo sana katika taifa hili Leo tuko karne ya 20,lakini akili zetu finyu kama za watu wa karne ya 16 ,huu ni ujuha hata kichaa anatucheka, nan atuvamie taifa jenyewe maskini na watu wake had viongozi akili zao ni ndogo zinawaza matumbo yao tu..
Msumbiji inayoomba msaada SADC kwasababu huko Capo Delgado Mambo si shwari, je hiyo ni nchi tajiri? usipende kujianika kwa upumbavu ulionao.
 
Hawalali kwa lipi,nani aje kutuvamia nchi yenyewe maskini hii,acheni mawazo ya karne ya 20
Waliotaka vamiwa wote ni matajiri? Africa ndiyo bara masikini kuliko yote lakini ndiyo bara lenye vita kila kukicha. Unajiita masikini lakini una rasilimali zinazowatoa udenda mataifa kibao yaliyoendelea.

Utulivu ulionao mpaka unapata muda wa kuandika upupu wako JF haujaja kwa bahati mbaya kuna watu wanaousimamia.
 
Msumbiji inayoomba msaada SADC kwasababu huko Capo Delgado Mambo si shwari, je hiyo ni nchi tajiri? usipende kujianika kwa upumbavu ulionao.
wewe kweli ni mjinga,unajua siasa ya msumbiji???,nanyinyi endeleeni na hio siasa yenu ya ukabila na ukanda muone hilo mnaloliita jeshi la maana kama litaleta political stability
 
Waliotaka vamiwa wote ni matajiri? Africa ndiyo bara masikini kuliko yote lakini ndiyo bara lenye vita kila kukicha. Unajiita masikini lakini una rasilimali zinazowatoa udenda mataifa kibao yaliyoendelea.

Utulivu ulionao mpaka unapata muda wa kuandika upupu wako JF haujaja kwa bahati mbaya kuna watu wanaousimamia.
umekuja kwa bahati mbaya , taifa lililojaa ubinafsi na ukanda haikupaswa liwe hivi ila mkiendelee na ukanda na ukabila tutaona kama political stability inaweza tulizwa na jeshi
 
wewe kweli ni mjinga,unajua siasa ya msumbiji???,nanyinyi endeleeni na hio siasa yenu ya ukabila na ukanda muone hilo mnaloliita jeshi la maana kama litaleta political stability
ukiona awamu ya sita inakukera sana, kuna sumu ya panya inauzwa pakiti 200 jaribu iyo utanishukuru
 
ukiona awamu ya sita inakukera sana, kuna sumu ya panya inauzwa pakiti 200 jaribu iyo utanishukuru
siwez fanya ujinga kisa wapuuzi wa chache mimi ni mtanganyika na hili ni taifa langu nitaishi na nitazikwa hapahapa tanganyika,yawezekana wewe ukawa chambo kwao ...
 
Ninaamini Jeshi halipaswi kujiingiza kwenye mtego wa kujibizana na vi-akaunti vya twitter, insta au youtube.

Hivi viblogu viachwe vishughulikiwe na polisi kitengo cha cybercrimes.

Jeshi halipaswi kuogopa au kutishwa na mambo madogo madogo ya udaku kwenye mtandao.

Nisieleweke kuwa nimelikosoa jeshi. Natoa maoni binafsi tu.
 
Back
Top Bottom