JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

Ukitaka jawabu la swali lako wewe pita pale lugalo kwenye ile barabara kama unaenda Mwenge alafu pita kwenye ile bustani waliyopanda katikati ya barabara.

Utaleta mrejesho
Hahaha

Kweli kabisa

Inabidi aende huko atapewa majibu mujarab

Ova
 
Mbona ile sauti ukiisikiza inaonesha kabisa sio ya Mabeyo...
 
Waliotaka vamiwa wote ni matajiri? Africa ndiyo bara masikini kuliko yote lakini ndiyo bara lenye vita kila kukicha. Unajiita masikini lakini una rasilimali zinazowatoa udenda mataifa kibao yaliyoendelea.

Utulivu ulionao mpaka unapata muda wa kuandika upupu wako JF haujaja kwa bahati mbaya kuna watu wanaousimamia.
Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote!🤷
 
Mngefanya kama mamadou doumbuya lile jamaa jasiri Sana, lingekuwa lenyewe lisinge ruhusu huu upuuzi unaoendelea wa msoga gang.
Tatizo siyo kukosa ujasiri. Jeshi haliwezi kupindua serikali bila ya kuwa na support za kimataifa. Yule Doumbuya anasaidiwa na Ufaransa ndiyo ameweza kufanya. Angalia jinsi Taliban walivyopindua serikali iliyokuwepo Afghanistan lakini mpaka leo hawatambuliki UN. Jeshi likipindua serikali unafikiri watatambulika UN?
 
kwa uhai wa taifa hili linapaswa jeshi lichukue hatua kama kweli ni la wananchi
 
Jeshi nao wanataka kutuchamba kisa tuli wasema wana vifaa vya mwaka 1890
 
QUOTE="KHM 1995, post: 41331881, member: 610740"]
Hawalali kwa lipi,nani aje kutuvamia nchi yenyewe maskini hii,acheni mawazo ya karne ya 20
[/QUOTE]

Wanaogopa vyama vya upinzani kuchukua nchi kwa njia Za kidemokrasia hasa Zanzibar
 
Jeshi letu la hovyo sana serikali ya Hayati Magufuli ilifanya mambo ya hovyo sana kwa wananchi kama kuutesa,kuua,viroba vyenye miili ya watu kutupwa baharini lakini jeshi lilikaa kimya
 
It doesn't help, hata huko mabadiliko yatakuja tu.
 
Jeshi letu la hovyo sana serikali ya Hayati Magufuli ilifanya mambo ya hovyo sana kwa wananchi kama kuutesa,kuua,viroba vyenye miili ya watu kutupwa baharini lakini jeshi lilikaa kimya
kijana aliye karne ya 21,lakini mawazo yake na carrier yake ya karne ya 17..aibu kwa taifa👿👿👿👿👿
 
kwa uhai wa taifa hili linapaswa jeshi lichukue hatua kama kweli ni la wananchi
Lichukue hatua gani? Likipindua serikali hakuna atakayewatambua kimataifa bila ya kuwa na mdhamini wa nchi kubwa. Siyo kitu rahisi.
 
Lichukue hatua gani? Likipindua serikali hakuna atakayewatambua kimataifa bila ya kuwa na mdhamini wa nchi kubwa. Siyo kitu rahisi.
lioneshe uthubutu kwanza,likifanikiwa na liitishe uchaguzi wa demokrasia ninaamini litaungwa mkono na mataifa makubwa
 
Back
Top Bottom