The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Jf kama jf na wajuajiwew unaelewa nini maana ya jeshi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf kama jf na wajuajiwew unaelewa nini maana ya jeshi...
HahahaUkitaka jawabu la swali lako wewe pita pale lugalo kwenye ile barabara kama unaenda Mwenge alafu pita kwenye ile bustani waliyopanda katikati ya barabara.
Utaleta mrejesho
Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote!🤷Waliotaka vamiwa wote ni matajiri? Africa ndiyo bara masikini kuliko yote lakini ndiyo bara lenye vita kila kukicha. Unajiita masikini lakini una rasilimali zinazowatoa udenda mataifa kibao yaliyoendelea.
Utulivu ulionao mpaka unapata muda wa kuandika upupu wako JF haujaja kwa bahati mbaya kuna watu wanaousimamia.
Tatizo siyo kukosa ujasiri. Jeshi haliwezi kupindua serikali bila ya kuwa na support za kimataifa. Yule Doumbuya anasaidiwa na Ufaransa ndiyo ameweza kufanya. Angalia jinsi Taliban walivyopindua serikali iliyokuwepo Afghanistan lakini mpaka leo hawatambuliki UN. Jeshi likipindua serikali unafikiri watatambulika UN?Mngefanya kama mamadou doumbuya lile jamaa jasiri Sana, lingekuwa lenyewe lisinge ruhusu huu upuuzi unaoendelea wa msoga gang.
Acha dharau boss...JESHI AU MGAMBO??? YAKIITWA MAJESHI NAO WANATOKA MBELE???
kwa uhai wa taifa hili linapaswa jeshi lichukue hatua kama kweli ni la wananchiTatizo siyo kukosa ujasiri. Jeshi haliwezi kupindua serikali bila ya kuwa na support za kimataifa. Yule Doumbuya anasaidiwa na Ufaransa ndiyo ameweza kufanya. Angalia jinsi Taliban walivyopindua serikali iliyokuwepo Afghanistan lakini mpaka leo hawatambuliki UN. Jeshi likipindua serikali unafikiri watatambulika UN?
Na hii ni taasisi nyingine inayotakiwa kusafishwa viongozi wake wengi waliwekwa pale kwa vigezo vya kikabila,na kujuana tu,
kijana naona umeliwa kibogamme wako kasafiri? mbn unajiachia sana leo
kijana aliye karne ya 21,lakini mawazo yake na carrier yake ya karne ya 17..aibu kwa taifa👿👿👿👿👿Jeshi letu la hovyo sana serikali ya Hayati Magufuli ilifanya mambo ya hovyo sana kwa wananchi kama kuutesa,kuua,viroba vyenye miili ya watu kutupwa baharini lakini jeshi lilikaa kimya
Lichukue hatua gani? Likipindua serikali hakuna atakayewatambua kimataifa bila ya kuwa na mdhamini wa nchi kubwa. Siyo kitu rahisi.kwa uhai wa taifa hili linapaswa jeshi lichukue hatua kama kweli ni la wananchi
lioneshe uthubutu kwanza,likifanikiwa na liitishe uchaguzi wa demokrasia ninaamini litaungwa mkono na mataifa makubwaLichukue hatua gani? Likipindua serikali hakuna atakayewatambua kimataifa bila ya kuwa na mdhamini wa nchi kubwa. Siyo kitu rahisi.
Kama JWTZ daima itamlinda na kumtii Rais na Amiri Jeshi mkuu nani ataitii na kuilinda katiba ya jamuhuri ya Tanzania? Jambo jema ni kwa jeshi kumtii na kumlinda Rais kupitia katiba ya nchi.
We are watching youJESHI AU MGAMBO??? YAKIITWA MAJESHI NAO WANATOKA MBELE???