JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

jmalema

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
16
Reaction score
22
Nimeipata katika nchi jirani iliyokua na vita ya maneno na Tanzania, miaka ya karibuni kumekuwa na hujuma kubwa inafanywa ndani ya JWTZ hasa katika mfumo wa mafunzo kwa kada chini yaani JRN NCOs n SRNCOs katika vyuo vyao.

Swala liko hivi, kitengo cha kijasusi cha nchi hiyo kilituma mawakala nchini kiliwalenga wakuu wa vyuo hivyo vilivyopo TABORA KALUNDE, ZANZIBAR CHUKWANI, DAR ES SALAAM KIMBIJI mawakala walikua na kazi moja tu yakushawishi kulegeza mafunzo ya kijeshi na nidhamuili kuzoletesha ufanisi na utendaji kivita kwa JWTZ na wakuu hao wa vyuo wanafaidika na mgao mkubwa wa fedha toka katika nchi hiyo.

Kinachofanyika ili kutakatisha fedha hiyo wakuu hao hupitisha michango kwa wanafunzi wanaohudhuria kozi ktk vyuo vyao kwa kichwa kimoja huweza kufikia tsh 300000 hadi tsh 500000 kwa mda wa miezi minne ambayo hukaa hapo.

Kumbuka chuo kimoja huchukua wanafunzi kati ya 400 hadi 1000 elfu moja hukusanya zaidi ya tsh 100 millioni mia moja ambazo hazina ukaguzi wowote kwa kisingizio cha ujenzi wa miundo mbinu au huendesha klub za michezo hapo ndio kitendawili kilipo haijulikani kiasi wanakusanya na zinatumikaje sababu huzungukwa na mazingira ya usiri sana.

Pia hili hufanyika kama syndicate mtandao huu upo hadi makao makuu ya jeshi kila mtu hupata kutokana na ushiriki wake, mfano kurugenzi ya mafunzo hushurutishwa kupeleka idadi kubwa ya wanafunzi kuliko miundo mbinu ya vyuo husika lengo ni kupeleka nguvu kubwa kwaajiri ya kupata michango na mgao kwa kila moja ili kufanikisha hayo mambo yafuatayo hufanyika.

1. Chuo hupokea idadi kubwa ya wanafunzi bila uwiano sawa na wakufunzi kwa hili chuo kilichoathirika sana ni Kalunde TC

2 Wakufunzi hasa maofisa waandamizi wanaonekana kua na misimamo ya kukinzana na wakuu hao wa vyuo huamishwa vituoni mara moja na kupelekwa sehemu zingine ili kupunguza makali ya kozi.

3 Hufanya jitahada za makusudi kulegeza mafunzo ili kutoa ushawishi kwa wanafunzi kutoa michango bila malalamiko hili hupunguza nidhamu na maadili ya kazi husika.

4 Vyuo au wakuu hawa hafanya jitihada za kuwaondoa maafisa usalama wa vyuo hivyo nakuwapangia majukumu mengine nje ya vyuo au kama watakuwepo basi ni kada ya chini ambao sio tishio kwao kwa namna yeyote.

5 Huchangisha hadi millioni 100 ambazo hutumika kujiimalisha katika nafasi walizopo hii ikiwa ni pamoja na kusambaza migao maeneo yote muhimu ka katika brigedi zao makao makuu hasa kurugenzi ya mafunzo na uhamisho

ILA mawakala hao wamekili kushindwa kuingia chuo cha maafisa TMA kutokana na misimamo kizalendo ya wakuu wanaoka wekwa pale Mbinu hizi ndizo nchi hiyo husika iliitumia kuingia DRC ilikua mkakati wa mda mrefu mwisho wa habali.

Najua watakuja wabishi naomba wafanye tafiti kidogo tu na hili wamelifanya sambamba na kuhujumu ununuzi wa silaha na silaha ktk maghala na magari ya JWTZ katika baadhi ya vikosi.

Hili waliwatumia hutumia watu wenye tamaa ya fedha kufanya haya KAZI KWENU MAKAMANDA KIKULACHO KINGUONI MWAKO wapenda fedha wataliangamiza taifa hilikwa kukosa uzalendo inchi imejaa wasaliti TUAMKE.
 
Mingoja niwaache maa uhuru umezidi mpaka mnakwenda kusiko,wewe umekujakutoa taarifa kama kweli wewe nimtanzania na unatoa taarifa yamuhim kwa nchiyako, iweje utaje maeneo yoote yanayofanyika mafuzo ya jwtz na umeshindwa kuitaja ni nchi gani inayo watuma hao mawakala! ili watu wajihadharinayo, wewe ulipaswa kusema watu kutoka sehem fulani wanafanya hili na hili bila kuficha. NAMA SHAKA NA WEWE
 
Taarifa inapotolewa,kinachofuata ni uchunguzi wa ndani kwa ndani.
Kinachoangamiza taifa hili ni vyombo vya dola kutaka uchunguzi ufanywe na raia
wema ninyi mwende kukamata tu,ndo maana mtego wa amboni ukawakamata
baadhi,Raia akitoa taarifa nashauri hatua za uchunguzi zifanyike,uchunguzi utabaini kama ni kweli
au ni uongo au ni mtego wa adui,badala ya kutoa majibu mepesi eti 'nina mashaka na wewe' kwangu
mashaka ndo akili,sasa chunguza kama ni uongo huna hasara kuliko kuwa kweli na wewe umelala.

Nchi zenye mgogoro na kongo zinafahamika wala hatuhitaji kuambiwa kila kitu,serikali
ifuatilie ni nchi gani ina wanafunzi wengi kwenye vyuo vyetu kisha iwafuatilie kwa
ukaribu lazima watagundua kitu.

Bado tunaamini wapo watanzania wazalendo wanaoipenda nchi yao
na si lazima uwe askari ndo upate habari za kipelelezi,kumbuka kwenye
biblia hata malaya anayeitwa Rahabu alikuwa na nyeti za wapelelezi wa israel
lakini nchi yake haikujua namna ya kumtumia,matokeo yake wakaangamia ila yeye akapona.
 
Mzani unacheza. . . . . . . .
1. Hiyo michango haina risiti???!!
2. Wakuu wa sehemu husika (chuo) wanamtoa mtu aliye na special task??!!!! Hii hapana. . . . .au anayebaki anakuwa hana madhara unamaanisha nini hapa??!!!
3. Kambi ya watu 400 wakichanga sh 300,000 kila mmoja ni 120M sasa unaposema wanakusanya "hadi" 100M unamaanisha nini??!!!

Taarifa ni taarifa though. . . . . . .
 
Nimeipata katika nchi jirani iliyokua na vita ya maneno na Tanzania, miaka ya karibuni kumekuwa na hujuma kubwa inafanywa ndani ya JWTZ hasa katika mfumo wa mafunzo kwa kada chini yaani JRN NCOs n SRNCOs katika vyuo vyao.
.

Wewe ungekuwa mwanajeshi kweli unajua njia milioni za kuripoti kitu na kikachukuliwa hatua! Ziko hadi email za majeshi mbalimbali ziko wazi kuanzia makao makuu ya jeshi hadi usalama wa taifa.EMAIL ziko wazi hadi za ikulu! Maafisa usalama wako kila wilaya hadi mkoa!

Anyway umesikika.
 
Mzani unacheza. . . . . . . .
1. Hiyo michango haina risiti???!!
2. Wakuu wa sehemu husika (chuo) wanamtoa mtu aliye na special task??!!!! Hii hapana. . . . .au anayebaki anakuwa hana madhara unamaanisha nini hapa??!!!
3. Kambi ya watu 400 wakichanga sh 300,000 kila mmoja ni 120M sasa unaposema wanakusanya "hadi" 100M unamaanisha nini??!!!

Taarifa ni taarifa though. . . . . . .

Wewe kwa mawazo yako watatoa wote kwa mkupuo?
 
Mmmm ..Mimi najuwa kuwa wamepenyeza watu wengi ..tatizo ni kuwa hata Hao unasema wanajuwa ADHABU ya usaliti ...na tatizo Tanzania haipigi kelele ....Sasa sio rahisi mtu kukubali syndicate ya KIJINGA Kama Hiyo ...itakayomfanya apoteze kila kitu ..
 
Raia acheni uoga na kihelehele.. Wasiwasi wenu nn!?
 
Mingoja niwaache maa uhuru umezidi mpaka mnakwenda kusiko,wewe umekujakutoa taarifa kama kweli wewe nimtanzania na unatoa taarifa yamuhim kwa nchiyako, iweje utaje maeneo yoote yanayofanyika mafuzo ya jwtz na umeshindwa kuitaja ni nchi gani inayo watuma hao mawakala! ili watu wajihadharinayo, wewe ulipaswa kusema watu kutoka sehem fulani wanafanya hili na hili bila kuficha. NAMA SHAKA NA WEWE
Jokas yuko sawa na ianawezekana ni sababu za ki protocol ndizo zimemfanya asitueleze hao jamaa wenyewe lakini jinsi ninavyojua hii habari tayari imeisha fika kwa wazee wahusika na wameisha anza ifanyia kazi inayopaswa,ni kweli pia imegundulika kuwa hivi sasa kuna vidudu mtu vingi sana vimetumwa kuja leta matatizo ndani ya jeshi letu imara.Sisi tayari tumeisha jipanga kwa battle moja kubwa sana karibu inakuja na pia tuko imara na tayari tunasubiri tuu ni wapi pa kuanzia sasa.Mr Murage msherwampamba.
 
Mmmm ..Mimi najuwa kuwa wamepenyeza watu wengi ..tatizo ni kuwa hata Hao unasema wanajuwa ADHABU ya usaliti ...na tatizo Tanzania haipigi kelele ....Sasa sio rahisi mtu kukubali syndicate ya KIJINGA Kama Hiyo ...itakayomfanya apoteze kila kitu ..
Eti wale tishio wanahamishwa wanabaki wasio na madhara. . . . .asiye na madhara ana alama gani???!!
 
Mingoja niwaache maa uhuru umezidi mpaka mnakwenda kusiko,wewe umekujakutoa taarifa kama kweli wewe nimtanzania na unatoa taarifa yamuhim kwa nchiyako, iweje utaje maeneo yoote yanayofanyika mafuzo ya jwtz na umeshindwa kuitaja ni nchi gani inayo watuma hao mawakala! ili watu wajihadharinayo, wewe ulipaswa kusema watu kutoka sehem fulani wanafanya hili na hili bila kuficha. NAMA SHAKA NA WEWE

kwani anakosa gani?.au unadhani jamiforum wahusika hawaingi humu.hata hivyo ninawasiwasi na wewe kwa kiswahili chako hicho.
 
Back
Top Bottom