Nyerere aliliita jeshi la wananchi kwa trend ya Sasa linaenda kuwa jeshi la kikundi Cha watu wachache wenye malengo ya KISIASA imeniuma Sana kumuona mnyika anaitwa na TAKUKURU na wabunge wa chadema wakati huohuo Humphrey Polepole anagawa bajaji iringa Sasa najiuliza mstari unaogawa tafsiri ya rushwa kwenye siasa za Tanzania ni upi na una unene gani?Jeshi laweza kuwa ndio kichaka pekee kinachotumika kuhujumu umma wa watz kwa Sasa. Nadhani ni vema kulitazama jeshi kama jeshi la cccm na sio la nchi.
Jibu ni hapana.Mtu akihoji mnavitia majaribuni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama atakuwa amekosea? Je anastahili kutekwa?
Khaa!Nyerere aliliita jeshi la wananchi kwa trend ya Sasa linaenda kuwa jeshi la kikundi Cha watu wachache wenye malengo ya KISIASA imeniuma Sana kumuona mnyika anaitwa na TAKUKURU na wabunge wa chadema wakati huohuo Humphrey Polepole anagawa bajaji iringa Sasa najiuliza mstari unaogawa tafsiri ya rushwa kwenye siasa za Tanzania ni upi na una unene gani?
Very correct yanayofanyika yote jeshi limeshiriki sana au la polisi au lile lingine na lingine tena.Jeshi laweza kuwa ndio kichaka pekee kinachotumika kuhujumu umma wa watz kwa Sasa. Nadhani ni vema kulitazama jeshi kama jeshi la cccm na sio la nchi.
Bila shaka atakuelewa maans humu atakuwemo tu. Ni kiongozi wetu ni vema akasikiliza hoja hizi.Mkuu wa majeshi
Jenerali Mabeyo
Kuna member humu jamiiforums aliwahi kusema akirefer wahamiaji wa CCM toka upinzani. Namnukuu
Ukinunuliwa na CCM utakuwa
Used
Misused then
Abused
Sasa naamini jeshi letu limefikia stage ya pili (misused)
Likifikia stage ya tatu (being abused) naamini halitakubali litajibu !
Tusifike huku wote sisi kwasasa ni watoto wa John Joseph Pombe Magufuli.
Huu ndio ujumbe wangu wa mwisho wa siasa za Tanzania nitarudi Tena mwakani baada ya uchaguzi.
Tukutane jukwaa la mapenzi (MMU)
Mkuu wa majeshi
Jenerali Mabeyo
Kuna member humu jamiiforums aliwahi kusema akirefer wahamiaji wa CCM toka upinzani. Namnukuu
Ukinunuliwa na CCM utakuwa
Used
Misused then
Abused
Sasa naamini jeshi letu limefikia stage ya pili (misused)
Likifikia stage ya tatu (being abused) naamini halitakubali litajibu !
Tusifike huku wote sisi kwasasa ni watoto wa John Joseph Pombe Magufuli.
Huu ndio ujumbe wangu wa mwisho wa siasa za Tanzania nitarudi Tena mwakani baada ya uchaguzi.
Tukutane jukwaa la mapenzi (MMU)
No offence. Lakin boss wa takukuru basicaly bado ni askari wa jwtz.Kuna ukweli fulani,nilikuwa sijaugundua. Huyu boss wa TAKUKURU asitumie uniforms za jeshi akitoka hadharani kwa issues za raia(mf kutoa taarifa fulani,hafla/dhifa za raia nk). Kuna ubadhirifu unatokea serikalini,ila hawashughuliki,lakini tunaona kwa wafanyabiashara/wasounga juhudi wanavyokimbizwa.
Nilikuwa na kawaida ya kuwapa msaada wa usafiri wajeda fulani wakati nawahi kibaruani,ila karibuni niliacha baada ya kumwona boss wa pccb akiwa kapiga uniforms yenye mavyeo mengi,nilidhani wajeda wako nyuma ya haya mateso.
Jeshi letu lisitumike kwenye mambo ya raia