JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

Hawa nao ni "wava sare za mabaka mabaka"!?
Wewe ni mzito kuelewa hoja yangu ni double standard ya pcccb ambapo top wake ni wa jwtz Sasa Kama Polepole amegawa bajaji na kigwangala amegawa baiskeli kwanini Hawa hawakamatwi na pcccb wakati walichokifanya kina sura ya rushwa? Je Leo hii sugu pale mbeya akifanya hivyo pcccb watamuacha? Hapo ndio hoja yangu ilipo kwamba bcccb inaboronga chini ya meja jenerali wa jwtz hii si sawa wanalitukanisha jeshi letu mbele ya wananchi jeshi letu ni tukufu waache kulihujumu.
 
Detective mwenye kichwa kizito mgumu kuelewa.
Nimemjibu mtu mwingine kutokana na swali alilouliza, sikukujib ww? Na nadhan ww ndio umeshindwa kuelewa.
Back to topic yako mhe rais ana power kisheria ya kumteua mtu yoyote na kumweka ktk nafasi yoyote ile.

Maybe pccb ina vurunda chini ya kiongoz wa kijeshi, lakin nionanvyo mm yule hana power. mwenye power ni rais.. na hiki chombo kinatumika kisiasa... japokuwa ni indirect.
Kiongoz wa jeshi au awe wa kiraia.. bila uhuru wa kufanya maamuzi yao ..bado wataonekana wana vurunda. Sababu mtu mmoja kutoka juu ndie ana control everything
 
Hapa umejibu vema nimeridhika
 
Jw mmoja akipata tatizo na polisi Mia moja wakipata tatizo nitamsaidia jw mmoja na kuwaacha polisi Mia moja hii ni kwasababu kuna alieamua kuheshimika na alieamua kudharaulika . Akhasanteni
Haya maneno yanapatikana kwenye kiapo'NITAMTII NA KUMTUMIKIA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANI' kwa hiyo kaa ukijua JWTZ linamtii na kumtumikia Rais na wateule wake wengine wote wakiwemo Mawaziri maRC na Madc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom