JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

Superbag unachojaribu kufanya in kujitekenya mwenyewe na kutaka wengine wahisi hisia zako. Hakuna wakati ambao jeshi limeonekana kuwa jeshi la wananchi kama kipindi cha awamu ya Tano, tumeona jinsi wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa kama wakati juu.
Siasa za kizalendo za CCM ambazo zimewalea majeshi yetu zitalifikisha mbali Taifa letu. Hongera JPM kwa ufunuo huo. Kama rangi ya magwanda yao inaku irritate wew e zoea tu tutaendelea kuziona miongo kadha ijayo.
 
Toka siku ile Magufuli amepokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi Arusha, wakati jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa, toka siku nilipata shaka kubwa na weledi wa jeshi hili. Kwa sasa naona wazi limeamua bila aibu kufanya siasa rahisi.
Jeshi likitumika na wanasiasa hujuma (sabotaging) haiepukiki!

Kuna watu watapinga leo Uzi huu kwasababu za KISIASA Ila jeshi letu Leo hii linawasomi wengi wanayaona haya yanayotokea pia imagine siku upinzani wakishika dola nao wakalitumia hivihivi jeshi letu kwa 100% kama linavyotumiwa na ccm leo je CCM watakubali? Mtendee mwenzako kwa namna unavyotaka akutendee.
 
Superbag unachojaribu kufanya in kujitekenya mwenyewe na kutaka wengine wahisi hisia zako. Hakuna wakati ambao jeshi limeonekana kuwa jeshi la wananchi kama kipindi cha awamu ya Tano, tumeona jinsi wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa kama wakati juu.
Siasa za kizalendo za CCM ambazo zimewalea majeshi yetu zitalifikisha mbali Taifa letu. Hongera JPM kwa ufunuo huo. Kama rangi ya magwanda yao inaku irritate wew e zoea tu tutaendelea kuziona miongo kadha ijayo.
Rangi ya majeshi sio hoja kwangu mbona majeshi yote duniani yana rangi za kijani kutegemeana na mazingira?

Hoja yangu ni namna wanajeshi wanavyotumika kwa maslahi ya KISIASA na wanasiasa kama kinachofanywa na takukuru chini ya meja jenerali wa jwtz ni sawa basi hakuna shida historia itamtetea ila kama nikinyume chake na hii ikimaanisha takukuru inatumika KISIASA maana yake chombo hiki kinakosa mizania na kwasababu mkuu wa takukuru anatumia magwanda ya jwtz basi sawa hakuna shida watu wanaona mkuu Wala tusiwekeane uadui.
 
Naomba kwenye Uzi huu nikisema jeshi letu imaanishe jwtz na sio tanpol .

Tanpol wanajua wenyewe kwa usahihi wanamtumikia nani na ni jeshi la nani.

Naamini tanpol sio jeshi la nchi yetu jeshi la nchi yetu tunaloliheshimu mno ni jwtz.
 
Jw mmoja akipata tatizo na polisi Mia moja wakipata tatizo nitamsaidia jw mmoja na kuwaacha polisi Mia moja hii ni kwasababu kuna alieamua kuheshimika na alieamua kudharaulika . Akhasanteni
 
Naliomba jeshi letu jwtz liiombe serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia.

Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe.

Sababu.

Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under performance ya mwanajeshi mmoja katika capacity ya kiraia haitakuwa sawa.

Jeshi letu ni Safi lisianze kuchukiwa na raia Wala kuwagawa raia !

Raia mwema .

Superbug.
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba mwanajeshi ni mtumishi wa umma
Ile ni idara tu ya ulinzi kama ilivyo idara ya utamaduni au ustawi wa jamii,
Mwanajeshi anaweza kuteuliwa nafasi yoyote ile,kuvaa kijeshi kusikutishe kwa sababu anakua hajastaafu jeshini kanuni zinamruhusu kuvaa sare zake
 
Kama Chadema kinawashughulikia wa Mwenyekiti Mbowe kwa kuwatia njaa hata wale waliotoa tamko la kustaafu kama Rwakatare ili tu wakose mafao yao waliyoyatafuta kwa muda mrefu tena kwa mazingira magumu ya kisiasa, sioni ajabu kabisa TAKUKURU ikiwahoji bila huruma mana hata wao hawana huruma baina yao.

Wakamatwe tu kwa rushwa mana tumechoka na rushwa ndani ya vyama vya siasa. Chadema wakati wa Dr. Slaa ilikua na kauli Kula CCM ,kura Chadema.
Leo ,kula Chadema na CCM kura kwa Magufuli.
 
Navaa bado.And yes sababu bado ni mwajiriwa wa jwtz. Na nafasi aliyonayo sasa ni cheo tu
iko hivi:
mleta mada amekerwa na uvaaji wa sare za JWTZ kwa wateule kama yule wa PCCB anasema kukiwa na hisia za kisiasa watu watasema JWTZ inatumika kisiasa.
hoja yake:

wateule wanajeshi wakifanya kazi za kiraia wasivae yale mabakamabaka hata kama wataendelea na ujeshi wao.

nikawaza hoja yako:
je tuwaache wateule wanajeshi wavae mabakamabaka wakiteuliwa ukuu wa wilaya, mkoa, usalama?

ulichojibu:
ndio wavae tu; du!

Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
 
Superbag unachojaribu kufanya in kujitekenya mwenyewe na kutaka wengine wahisi hisia zako. Hakuna wakati ambao jeshi limeonekana kuwa jeshi la wananchi kama kipindi cha awamu ya Tano, tumeona jinsi wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa kama wakati juu.
Siasa za kizalendo za CCM ambazo zimewalea majeshi yetu zitalifikisha mbali Taifa letu. Hongera JPM kwa ufunuo huo. Kama rangi ya magwanda yao inaku irritate wew e zoea tu tutaendelea kuziona miongo kadha ijayo.
Usidanganye ccm inaleta ushabiki wa siasa jeshini binadamu hawawezi kuwa wamoja hata kama wanakazi moja. Hizi uniform zikijaa uraiani halafu wavaaji wakaunderperform, jeshi letu halitaheshimika kama polisi walivyo ingawa wanatulinda.
 
iko hivi:
mleta mada amekerwa na uvaaji wa sare za JWTZ kwa wateule kama yule wa PCCB anasema kukiwa na hisia za kisiasa watu watasema JWTZ inatumika kisiasa.
hoja yake:

wateule wanajeshi wakifanya kazi za kiraia wasivae yale mabakamabaka hata kama wataendelea na ujeshi wao.

nikawaza hoja yako:
je tuwaache wateule wanajeshi wavae mabakamabaka wakiteuliwa ukuu wa wilaya, mkoa, usalama?

ulichojibu:
ndio wavae tu; du!

Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
Kuna contradiction btn matakwa yake na sheria.
Sheria zinamruhusu kuvaa.
 
Back
Top Bottom