Jeshi likitumika na wanasiasa hujuma (sabotaging) haiepukiki!Toka siku ile Magufuli amepokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi Arusha, wakati jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa, toka siku nilipata shaka kubwa na weledi wa jeshi hili. Kwa sasa naona wazi limeamua bila aibu kufanya siasa rahisi.
nikiongeza nitaharibu. Kama polisisiem hili ni jeshi la wanasisiem tzJeshi laweza kuwa ndio kichaka pekee kinachotumika kuhujumu umma wa watz kwa Sasa. Nadhani ni vema kulitazama jeshi kama jeshi la cccm na sio la nchi.
Rangi ya majeshi sio hoja kwangu mbona majeshi yote duniani yana rangi za kijani kutegemeana na mazingira?Superbag unachojaribu kufanya in kujitekenya mwenyewe na kutaka wengine wahisi hisia zako. Hakuna wakati ambao jeshi limeonekana kuwa jeshi la wananchi kama kipindi cha awamu ya Tano, tumeona jinsi wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa kama wakati juu.
Siasa za kizalendo za CCM ambazo zimewalea majeshi yetu zitalifikisha mbali Taifa letu. Hongera JPM kwa ufunuo huo. Kama rangi ya magwanda yao inaku irritate wew e zoea tu tutaendelea kuziona miongo kadha ijayo.
akiteuliwa kuwa ukuu wa mkoa, wilaya, usalama wataifa itakuwaje?No offence. Lakin boss wa takukuru basicaly bado ni askari wa jwtz.
Takukuru ni detachment tu.. lakin haimuondolei uaskar wake
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba mwanajeshi ni mtumishi wa ummaNaliomba jeshi letu jwtz liiombe serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia.
Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe.
Sababu.
Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under performance ya mwanajeshi mmoja katika capacity ya kiraia haitakuwa sawa.
Jeshi letu ni Safi lisianze kuchukiwa na raia Wala kuwagawa raia !
Raia mwema .
Superbug.
chama lao limedoda mkuu.naona.unaandika nakujijibu mwenyewe chadomo bana kama.upo safi unaogopa nn kuhojiwa hahaha vip yule mlevi alishazinduka
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado cheo chake jeshini kinabaki pale pale.akiteuliwa kuwa ukuu wa mkoa, wilaya, usalama wataifa itakuwaje?
Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
Hawa nao ni "wava sare za mabaka mabaka"!?Wakati huo huo pole pole amegawa bajaji za CCM iringa na kigwangala amegawa baiskeli kwa ngazi za CCM.
mkuu hoja ni uvaaji wa kombati!Bado cheo chake jeshini kinabaki pale pale.
Kuna kitu kinaitwa temporary detachment. Ndicho kinachofanyika.. aachi jeshi. Na vyeo vyake vinabaki pale pale. Kazi anayopewa ni temporary
Navaa bado.And yes sababu bado ni mwajiriwa wa jwtz. Na nafasi aliyonayo sasa ni cheo tu
iko hivi:Navaa bado.And yes sababu bado ni mwajiriwa wa jwtz. Na nafasi aliyonayo sasa ni cheo tu
Usidanganye ccm inaleta ushabiki wa siasa jeshini binadamu hawawezi kuwa wamoja hata kama wanakazi moja. Hizi uniform zikijaa uraiani halafu wavaaji wakaunderperform, jeshi letu halitaheshimika kama polisi walivyo ingawa wanatulinda.Superbag unachojaribu kufanya in kujitekenya mwenyewe na kutaka wengine wahisi hisia zako. Hakuna wakati ambao jeshi limeonekana kuwa jeshi la wananchi kama kipindi cha awamu ya Tano, tumeona jinsi wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa kama wakati juu.
Siasa za kizalendo za CCM ambazo zimewalea majeshi yetu zitalifikisha mbali Taifa letu. Hongera JPM kwa ufunuo huo. Kama rangi ya magwanda yao inaku irritate wew e zoea tu tutaendelea kuziona miongo kadha ijayo.
Kuna contradiction btn matakwa yake na sheria.iko hivi:
mleta mada amekerwa na uvaaji wa sare za JWTZ kwa wateule kama yule wa PCCB anasema kukiwa na hisia za kisiasa watu watasema JWTZ inatumika kisiasa.
hoja yake:
wateule wanajeshi wakifanya kazi za kiraia wasivae yale mabakamabaka hata kama wataendelea na ujeshi wao.
nikawaza hoja yako:
je tuwaache wateule wanajeshi wavae mabakamabaka wakiteuliwa ukuu wa wilaya, mkoa, usalama?
ulichojibu:
ndio wavae tu; du!
Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app