Twende ngome tukawape maua yao basi , tupate nao kahawa pia 😅😅Sawa
Hawatabiriki hao😃😃..unaweza kwenda unacheka ukarudi unalia😂Twende ngome tukawape maua yao basi , tupate nao kahawa pia 😅😅
Mkuu siku hiizi siasa ipo kila sehemu Tu naona ukweli pole pole unakuwa sumu kwa watu kwa kuhofia kuusema wanaona wakiusema uhalisia sjui watakuaje......Dah too sad aiseeAibu naona mimi, huyo si luten kanali kabisa
Nia yao tucheke Kwa nguvu waturushe kichurachura