JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]Hawa jamaa wazee wa kubet ndo wamekua wa 6 kidunia
 
Nilipoona jamaa anahojiwa na watangazaji kanjanja na wasanii
Mara sijui msani karudisha nguo
Anapiga nao picha nkaona huyu
Hana tofauti na mandonga mwijaku baba level style

Ova
 
Imagine Askari ana miaka 30 Kazini na hajawahi kupigana vita hata moja mpk anazeeka hajawahi kwenda hata darfuuuuu [emoji23]
 
Back
Top Bottom