Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww nae ni kilaza nambari one!....Ukrein hapo anafanya nn???...yaani ule ubishi wako wa uzi wa kulee unatembea nao kila sehemu...,..USA
Ukraine
British
China
Russia
Iran
Egypt
Israel
Ukraine
Waambie waache utani
Aise acha kabisa, kuna mwaka nilikwenda Ujerumani ilikuwa ni semina za maswala ya kijamii na maendeleo. Weekend tukapata mwenyeji akawa tour guide wetu. Akawa anatupeleka kwenye sehemu mbalimbali za kutalii. Kuna mahali alibugi tukaingia eneo la Jeshi. Hatukuteswa ila jamaa walitufanyia yaani walitulinda silaha. Hata ukitaka kwenda chooni unafuatwa na mtu mwenye silaha.Afu uwez amini sijawahi kuona Mwanajeshi wa UsArmy yyte akionea Raia mara Sjui kavaa nguo za Jeshi mara sjui kafanyaje Wako peace kinyama jaman hata wa china njoo tz pita tu bahati mbaya kambini ukiwa na boda boda tu pikipiki utaibeba huku umeiwasha na uzunguke Nayo mgongoni kambi zima na hakuna hata kosa wala tishio lolote la amani ulilofanya Afu tunajiita Jeshi la wananchi wakati wananchi wenyew wnatuogopa inabd ifanyike reform kwakweli...
NaUSA
Ukraine
British
China
Russia
Iran
Egypt
Israel
Ukraine
Waambie waache utani
Lini anakuja wakati kashe rest easyNa
Niwatu wa utani kwelikweli na ukizubaa wamekumaliza
Lakini ,naamini hatuoni prighovin waputin alivosema anataka kuja Tz kunawatu wanasumbua kapotea
Sio kweliHaha huyu kamanda komedi sana anachekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me nime Google mbona sioni nimeandika hadi majeshi 6 yatakayopata nguvu dunian kwa badae pia sijaonaalilewa
Chanzo cha utafiti huo kitajwe, hatuamini siasa
A you sure [emoji2]Kwanza hili tukio la kurudisha sare za jeshi la Marekani linachekesha.
Taasisi imara hii sidhani kama inaweza dharirishwa na mtu moja hayo ni mapungufu yake na uelewa wake imeishia hapo labdaAnajidhalilisha yeye pamoja na taasisi ya JWTZ kwa maana hata foreign diplomats wanafuatilia habari za Tanzania na taasisi zake. Kusema kuwa "We have one of the most disciplined and well-equipped army" ingetosha sana pasipo kuitaja hiyo namba 6.
Uwezo wa taasisi hujengwa na watu na weledi wao ndio unaodhihirisha uimara/udhaifu wake.Taasisi imara hii sidhani kama inaweza dharirishwa na mtu moja hayo ni mapungufu yake na uelewa wake imeishia hapo labda
[emoji23][emoji23][emoji23]Mie nime fanya ku google.. acha nikae namajibu yangu .. sitaki chai ya mtu [emoji28][emoji28]
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mliogugo mmeona Nini?