JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

Kwa siraha zipi za kisasa walizo nazo hadi waseme hivyo😂😂 achilia mbali teknolojia ambayo ni muhimili mkubwa kwenye maswala mazima ya kijeshi 😂😂 labda wangesema wao ni namba 1 kwa kutembea na wake za watu na kutia wanafunzi mimba bila kusahau kuonea raia mtaani
Afu uwez amini sijawahi kuona Mwanajeshi wa UsArmy yyte akionea Raia mara Sjui kavaa nguo za Jeshi mara sjui kafanyaje Wako peace kinyama jaman hata wa china njoo tz pita tu bahati mbaya kambini ukiwa na boda boda tu pikipiki utaibeba huku umeiwasha na uzunguke Nayo mgongoni kambi zima na hakuna hata kosa wala tishio lolote la amani ulilofanya Afu tunajiita Jeshi la wananchi wakati wananchi wenyew wnatuogopa inabd ifanyike reform kwakweli...
 
Umerudi lini mkuu...USA wanaendeleaje?
 
Umerudi lini mkuu...USA wanaendeleaje?
Mkuu Umri wangu tu huwezi kufika...Tatizo la watoto wa siku hizi waliozoea watu mitandaoni bila kuwajua Watu wanadhani wanamjua mtu kupitia mtandao wakati hata anapoishi tu Hujui..Kaka we hunijui hujui niko Wapi,Hujui nfanya nini hujui Hata kama niko AFRICA AU NIKO india...
Tatizo nachokiona Watoto wwngi wa miaka ya 90s na 2000s wengi ni malimbukeni wa Maisha na mitandao pia....

Kingine maisha anayoishi yeye anadhani pia kila mtu anaishi kama yeye...
Polee mkuu Hiyo kwako ni DID (Dissociative Identity Disorde)
Shida kubwa unaishi katika Delusion na ndo inakusababishia Hayo magonjwa ya Akilu na Paranoia kichwani kibao acha kuimagine life kijana 😀😀😀
 
Afu uwez amini sijawahi kuona Mwanajeshi wa UsArmy yyte akionea Raia mara Sjui kavaa nguo za Jeshi mara sjui kafanyaje Wako peace kinyama jaman hata wa china njoo tz pita tu bahati mbaya kambini ukiwa na boda boda tu pikipiki utaibeba huku umeiwasha na uzunguke Nayo mgongoni kambi zima na hakuna hata kosa wala tishio lolote la amani ulilofanya Afu tunajiita Jeshi la wananchi wakati wananchi wenyew wnatuogopa inabd ifanyike reform kwakweli...
Labda ule ubabe wao kwa raia ndio ubora wao lakini kiuhalisia ni washamba tuu, na wengi wao Elimu ya kuunga unga wamejaa darasa la saba na walio feli form 4, yani mtu akifeli shuleni anakimbilia kule alafu wanajiita jeshi la 6 kwa ubora 😂😂😂 futuhi kabisa 😂😂😂
 
Anajidhalilisha yeye pamoja na taasisi ya JWTZ kwa maana hata foreign diplomats wanafuatilia habari za Tanzania na taasisi zake. Kusema kuwa "We have one of the most disciplined and well-equipped army" ingetosha sana pasipo kuitaja hiyo namba 6.

Juzi Kati wafurumushwa CA walipokuwa baada ya kujihusisha na ubakaji
 
Back
Top Bottom