JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

Majeshi bora utasikia wanatengeneza drones zao wenyewe juzi nimeona drones za maboxi wakati Majeshi ya Nchi zingine utaona wakiwatumia vijana kupanda miti na kulima bila kuwalipa chochote...ubora wa jeshi unapimwa kwa ugunduzi pia humo jeshini uliona wapi Jeshi linauza matrekta yaliyotoka Nchi nyingine badala ya kugundua ya kwao na kuuza harafu mnakuja kujisifia hapa...
 
Kuwavua nguo raia na kuwadhalilisha ndo ubora wenyewe?
Kuna wapigaji walimuzia mama mmoja nyumba iliyokuwa inamilikiwa
Na jwtz maeneo ya msasani
Nyuma ya tanesco huko
Jana mabaunsa walienda na mama huyo kumtoa mtu aliyekuwa anakaa ndani,mule ambaye ni mjedah [emoji1]
Wakati huo alikuwa hayupo nyumbani
Sasa basi mtiti ukaanza si wanajeshi MP wakaja hapo kilichoendelea yule mama anakijua mwenyewe
Ila naona issue hii media hawajaipata
Maana ingekuwa aibu

Ova
 
Malizia
 
Hali ya huyo mama ipoje huko hospitalini🤣
 
Waii jeshi gani mpka Leo limeshindwa kumpata saa nane eti kipa umbele chake ni sare zao wakati Mali za nchi zinachukuliwa tu na waarabu kifara
 
Atuambie kwanza KPI alizitumia kutoa hayo matamshi yake; ndio tutajua kama ni ukweli au ni kinyume chake.
 
Back
Top Bottom