JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

C'mon now 🤣

Ila maafande wanafahamika kwa vichekesho na ucheshi, usichukulie serious kila kitu wanachoongea.
Unapokuwa msemaji wa taasisi kama Jeshi ni lazima kuwa makini sana na kauli zako kwa maana zinaonesha pia caliber yako kuwa wewe ni mtu wa namna gani.

Katika medani ya soccer, ningeshangaa sana kama Manara angeendelea kuwa msemaji wa klabu ya Simba kutokana na caliber yake ukilinganisha na status ya Simba hapa Africa.

Kwani huyo msemaji angesema kuwa JWTZ ni moja kati ya majeshi bora duniani, angepungukiwa nini? Kulikuwa na umuhimu wowote wa kutaja number ranking kwamba ni ya sita?

Anaweza akadhani anaitetea taasisi yake na kuijengea confidence mbele ya umma wa watanzania, kumbe ndio kwanza anaichafua taswira yake mbele ya uso wa dunia.
 
Hahahaaaa. Hawa jamaa wangependa tusiwe na TV au internet. Ama jamaa ana uelewa mdogo au amejaa ujinga.
Anajidhalilisha yeye pamoja na taasisi ya JWTZ kwa maana hata foreign diplomats wanafuatilia habari za Tanzania na taasisi zake. Kusema kuwa "We have one of the highly disciplined and well-equipped army in the world" ingetosha sana pasipo kuitaja hiyo namba 6.
 
Back
Top Bottom