Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!.
Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!!
Naamini kupitia JWTZ
Huduma zitaimarika ipasavyo
Faida itakua kubwa
Hapatakua na Uharibifu wa kimakusudi wa MaBus haya.
Abiria watakua wenye kufuata Utaratibu ,sio Huu wa MTU kupitia dirishani .
Zingatieni, JWTZ Kila inachosimamia, inasimamia Kwa Uzalendo Kwa Faida ya Nchi na si MTU Binafsi