Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Suma JKT inapata faida?Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!.
Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!!
Naamini kupitia JWTZ
Huduma zitaimarika ipasavyo
Faida itakua kubwa
Hapatakua na Uharibifu wa kimakusudi wa MaBus haya.
Abiria watakua wenye kufuata Utaratibu ,sio Huu wa MTU kupitia dirishani .
Zingatieni, JWTZ Kila inachosimamia, inasimamia Kwa Uzalendo Kwa Faida ya Nchi na si MTU Binafsi
Yaan unamaanisha kwenye mabasi ya mwendokasi watu wanapitia dirishani!?Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!.
Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!!
Naamini kupitia JWTZ
Huduma zitaimarika ipasavyo
Faida itakua kubwa
Hapatakua na Uharibifu wa kimakusudi wa MaBus haya.
Abiria watakua wenye kufuata Utaratibu ,sio Huu wa MTU kupitia dirishani .
Zingatieni, JWTZ Kila inachosimamia, inasimamia Kwa Uzalendo Kwa Faida ya Nchi na si MTU Binafsi
πππ Afrika ni vituko sana mradi wa mabasi unashinda wananchi milio 65Sasa hawa wanaochukua fomu kimya kimya kutaka uraisi si wangeanza tu na huu mradi, yaani aka ka mradi kanawatoa jasho ndo waje kuiweza nchi hii kweli na mito yake, madini yote, misitu yote, wanyama na binadamu kweli wataweza?
Kwa upande wa JKT inaweza kuwa Bora zaidi kusimamia mradi huo sababu Vijana wote wanaokwenda kwenye mafunzo hayo mbali na ulinzi pia nia ni kupata ujuzi wa fani mbalmbali ili kujitegemea, hivyo basi kwa wenye kuwa na ujuzi wa fani kama Udereva, Ufundi makenika, mafundi Rangi za magari (karakana), wahasibu n.k, Inaweza kuwa njia rahisi ya mafunzo kwa vitendo na mara watakaporudi uraiani wanaweza kuwa wazuri sana katika kuendesha au kujitegemea kwa nidhamu kwa fani walizopitia. Na ningeshauri baada ya kukamilisha mafunzo yao watumikie vitengo vyao kwa miezi mitatu hadi sita na kupewa vyeti na leseni kutegemea fani, ili kupisha kundi la Vijana wengine kuchukuwa nafasi yao.Suma JKT inapata faida?
Pili hao ukiwapa nani atawakagua?
Wakiendesha Mabasi kazi ya ulinzi atafanya nani?
Walete mrejesho wa Suma JKTKwa upande wa JKT inaweza kuwa Bora zaidi kusimamia mradi huo sababu Vijana wote wanaokwenda kwenye mafunzo hayo mbali na ulinzi pia nia ni kupata ujuzi wa fani mbalmbali ili kujitegemea, hivyo basi kwa wenye kuwa na ujuzi wa fani kama Udereva, Ufundi makenika, mafundi Rangi za magari (karakana), wahasibu n.k, Inaweza kuwa njia rahisi ya mafunzo kwa vitendo na mara watakaporudi uraiani wanaweza kuwa wazuri sana katika kuendesha au kujitegemea kwa nidhamu kwa fani walizopitia. Na ningeshauri baada ya kukamilisha mafunzo yao watumikie vitengo vyao kwa miezi mitatu hadi sita na kupewa vyeti na leseni kutegemea fani, ili kupisha kundi la Vijana wengine kuchukuwa nafasi yao.