JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

Haya ni mawazo ya kizamani kabisa ila ndivyo watanzania wengi wanavyoamini. Mtu kama wewe akija mwanajeshi na kukumbia uvue suruali umridhishe haja zake bila shaka utakubali bila kinyongo ukidhani ni jukumu lako kufanya hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wa
Wanajeshi wanafundishwa kuua tu?
Kuua ndio jukumu kubwa la jeshi??
Wanajeshi hawafundishi kuua
Wanafundisha mbinu mbalimbali za kukabiliana na ADUI kutumia zana za kivita nk

Jukumu KUBWA ni kupokea ORDER na kwenda kuitekeleza Sio ORDER lazima iwe VITANI 8naweza kuwa ORDER yoyote haya ya SHUGHURI ya kijamii kwa kutumia ZANA za kijeshi mafunzo ya kijeshi au wanajrshi wenye utaalam wa kitu husika mfano MADOCTOR MAINJ8NIA WA UJENZI nk
 
Haya ni mawazo ya kizamani kabisa ila ndivyo watanzania wengi wanavyoamini. Mtu kama wewe akija mwanajeshi na kukumbia uvue suruali umridhishe haja zake bila shaka utakubali bila kinyongo ukidhani ni jukumu lako kufanya hivyo
Wewe unajua kazi ya jeshi ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom