Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Unatengeneza disconnection kubwa kati ya wananchi na jeshi lao hii ni hasara kubwa katika vita.Asante kwa mada hii. Nashauri elimu kuhusu jeshi isitolewe bali tubaki na uelewa huohuo ndiyo lina make sense.
TPDF siyo kama TTCL au VODACOM au TANESCO kila mtu alijuwe. Hivyo ndivyo jeshi linapaswa kuwa. Yaani lisizoeleke kabisa ndiyo ufanisi wake utakuwa mkubwa.
Wananchi watakuwa wanaliogopa jeshi lao na kulichukulia limekaa kishari shari tu na halina upendo juu yao.
Huwezi nipiga mitama mimi uraiani halafu siku mpigane na maadui nikuunge mkono sahau kuhusu hilo.