JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

Hata wewe ukivamiwa na majambazi nyumbani kwako unaweza kuua bila hata kuwa na mafunzo,
Lengo la kwanza la jeshi sio kuua, hata kwenye vita adui akijisalimisha au ukiua adui uliyemkamata ni war crimes na ikithibitika utafungwa miaka mingi sana.
mfano wako ni mdogo sana. Jukumu la kwanza la jeshi ndani ya nchi ni kuhakikisha usalama wa taifa na ulinzi. Hii inahusisha kulinda uhuru wa nchi, mipaka yake, na raia wake dhidi ya vitisho na mashambulizi kutoka nje. Jeshi lina jukumu la kuzuia maadui wanaoweza kujitokeza, kujibu mashambulizi, na kuwa katika hali ya utayari wa kutetea taifa dhidi ya aina yoyote ya tishio la kijeshi kutoka nje.
So tell me? Unawezaje kulinda nchi na kujibu mashambulizi if you are not trained to do so?
 
Haya yote uliyoyazungumzia yanatakelezwa kwa mkakati mpana zaidi ya kuua, vinginevyo hilo halitakuwa jeshi bali kama kikundi cha maimai, Al-shabaab au Boko Haram tu.
Kuua sio jukumu la kwanza na la msingi la jeshi professional.
 
Ulishawahi kufundishwa popote kuwa una haki yoyote dhidi ya JWTZ ( siyo askari wa JWTZ)?

Usilazimishe kuwa na haki katika kila taasisi, wanajeshi wamejengwa kwenye nidhamu na misingi ya kuheshimu raia isipokuwa katika nyakati Fulani.

Raia sisi muda mwingine ni wakorofi, bahati mbaya ni ngumu kumtambua askari wa JWTZ akiwa Hana sare. Tukiwachokoza wakitukarabati na tukija kugundua kuwa tumepigwa na askari wa JWTZ ( ambaye kimsingi Hana uniform na tumemchokoza sisi wenyewe) basi tunahitimisha JWTZ limetuadhibu kwa ugomvi wa mitaani.

Hiyo elimu unayoihitaji ndiyo itakufanya uingie kambini kwa kiburi Cha kujua haki na elimu. Kaa nao mbali mkuu Kuna vitu vingi vya kukufurahisha na siyo kuhangaika na hao jamaa waliozoea kusikia milindimo ya vilipuzi, mizinga na vifaru vyenye rangi ya bakabaka😀

Hiyo siyo TANESCO mkuu,
Nb: usije kubishana na kundi la wanajeshi kwa jeuri kuwa una elimu au unajua haki zako.
 
Kumbe ile miezi sita,ukakamavi na kutumia silaha za moto hufundishwa ili kufufua!?..jeshi ni killing machine
Kama jeshi ni killing machine vipi kuhusu Boko Haram, Al-Shabaab, ISIS na Intarahamwe??
 
Kama jeshi ni killing machine vipi kuhusu Boko Haram, Al-Shabaab, ISIS na Intarahamwe??
Hayo magenge Haram yenye silaha,jeshi la nchi ni genge halali lenye silaha,kazi yake kuharibu/ua
 
Sielewi hata unamaanisha nini maana kila kitu kinaeleweka kama kilivyo. Hata maji huwezi kuyaelewa kama pombe, chumvi haiwezi kueleweka kama sukari n.k
Basi Mkuu Yoda kama kinaeleweka shifa iko wapi?
 
Back
Top Bottom