Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Bado kuna hawaJeshi la Wananchi mmeona yqnayoendelea nchini?
Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?
Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?
Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenyw mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenyw mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamieJeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?
Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?
Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?
Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Ndio ukweli huo, wanahusika kwa asilimia 100, hakuna jeshi lililo makini linaweza kufumbia macho mambo kama haya.Au labda JW ndo watekaji wnyw
JWTZ ilishawaonya nyinyi nyumbu au ukusikia?Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?
Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?
Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?
Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Nyumbu kwani unafaida gani hata TZ?Nimewadharau mnooo
Kuna nyumbu na fisi nchi hii zaidi ya CCM?JWTZ ilishawaonya nyinyi nyumbu au ukusikia?
JWTZ watakutoa roho dogoJeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?
Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?
Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?
Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Nimekuuliza hukusikia?Kuna nyumbu na fisi nchi hii zaidi ya CCM?
πππLimekuwa kama la konde boy tu
Yana mwisho. Na mwisho ni tarehe 29 OktobaWanapewa posho na serikali, hawawazi kingine wameridhika na maisha wale. Kiufupi hatuna wanajeshi ambao wana uchungu na nchi yao, wamevaa tuu sare lakini uzalendo wa dhati hakuna !
Maana nashangaa pamoja na haya mambo yote haya hovyo yanayofanywa na wahuni, jamaa wamekaa kimya na hawachukui hatua yoyote, yani tunacheleweshwa kufanya maendeleo na mambo mengi sana sisi watanzania. Watu wanaiba hela, wanaonwa wananchi tunawanyamanzia, jeshi linawanyamanzia MAMAMAMAAAAAEEEEH ZETU sisi