ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake
Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ
Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye makazi Yao
Sasa mwanajeshi akubali vip kuishi kwenye nyumba yaenye mabango ya kampeni za Kisiasa? Wakati ni kinyume cha kiapo chake,
Yaani mnatakanna wanajeshi waimbe " iyena iyena"
Basi labda kweli wana makosa kwanini usiwapeleke mahakama ya kijeshi wapate haki Yao huko
Au kama sio wapeleke mahakama za kiraia,
Sasa unawakamata ili iweje na mahakamani huwafikishi, upo unawatesa vijana wetu ?
Tumetoka pabaya kama taifa hata tunaotegemea wakomboe nchi nao wanatekwa bila kufata taratibu na Wanajeshi wenzako wanaona sawa
JWTZ chukueni nchi mnyoshe mambo